Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vitron imejaa Tanzania kuliko any other brand.


View: https://x.com/Baraka_D_/status/1910294597617570274

Alafu who told you Vitron is Indian?

View attachment 3307749

ila akili zenu nyinyi zimejaa chumvi mawe😂
IMG_5945.jpeg
 
Muongezee
Mo Electro 55 inch Full HD Smart Television

View attachment 3307471
Watanzania tunawatumia vzr wachina na wanatupa ujuzi kweli kweli, kule Kenya wachina wanaonwa kama miungu watu na wanaogopwa kabisa, sehemu za ujuzi mkenya anawekwa mbali kabisa na ikibidi anachapwa fimbo na mchina asisogee kabisa, huku kwetu mchina na mbongo wote wanafanya kazi pamoja na kwa urafiki mkubwa that's why it's easy for Tanzanians to adapt technology from Chinese people.
 
Back
Top Bottom