Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I almost closed the tab cause I thought I accidentally opened vogue magazine ile ya wamama 😂😂
And he really feels proud of those things, anajiona mtu wa maana sana akipost pictures za hizo vitu vya wamama.
 
Green City under the Sun.

1745008665635.jpeg
 
Bwana nairobae Haya tuletee ile source inayosema naivas inapiga 93 billion revenue annually. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wa kwanza with $800M? Safaricom Revenue is $3B. Hiyo ni Azam ngapi?😂😂🤣
Hebu Leta ile list kuna kitu nataka nikuonyeshe. 🤣🤣🤣🤣

Halafu mbona umekomalia report ya ya last years.? 🤣🤣🤣 unaogopa nini.?
 
Ngoja nikulaze na viatu. 🤣🤣🤣 this was the profit for naivas in 9 months 2023. This is 2.5 billion kenyan sh. 🤣🤣🤣👇🏾. https://www.businessdailyafrica.com...s-sh2-billion-profit-in-nine-months--4243218#. Kumbe tunapigizana kelele na biashara ya ubuyu. 🤣🤣🤣 ile source ya taarifa ya mpumbavu mwenzako aliiokota huku 👇🏾View attachment 3308917
Unajua maana ya Revenue kweli? Bro hapa tunaongelea revenue, ama hata revenue ndio hujui ni nini? Alafu mbona unatuletea habari za 2022 which they made 117 billion?

View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1540236023300505600
 
Hebu Leta ile list kuna kitu nataka nikuonyeshe. 🤣🤣🤣🤣

Halafu mbona umekomalia report ya ya last years.? 🤣🤣🤣 unaogopa nini.?
Azam Revenue is similar to Revenue ya Supermarket ya Kenya moja😂😂🤣
 
Unajua maana ya Revenue kweli? Bro hapa tunaongelea revenue, ama hata revenue ndio hujui ni nini? Alafu mbona unatuletea habari za 2022 which they made 117 billion?

View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1540236023300505600

Source yako ni tweet.? 🤣🤣🤣🤣 hizi ni taarifa za Azam 2018. 👇🏾
IMG_6591.png
Haya na wewe nenda ukurasa wa Naivas kaleta za mwaka huu. 🤣🤣🤣. Coz credible sources zinasema ni 2 billion Kenya money.
 
Unajua maana ya revenue wewe? 2.5B was profit but revenue was 96B. Kweli wewe ni baboon.
Sasa we matako tunapigizana kelele za nini. Net profit ya Azam ni 105 billion Kenya money. Sasa tunalinganisha kweli hizi vitu.? 🤣🤣🤣 hii mada nimeiacha hapo. Biashara ya machungwa. Gross revenue ya Azam unazungumzia Billions of dollars.
 
Back
Top Bottom