Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hii picha ni ya lini.? ngoja nikifyeke hichi kichaka chako chakujifichia kwanza. 🤣🤣🤣 unaona hapo hata MNF tower was not completed.? Hebu tueleze hii picha ni ya lini.?Bongolala, kabila ya kushugulika na miavuki za Maasai market nje ya parking lot ya Supreme Court, shugulikeni na hizi slums nje ya ofisi zenu za bandari View attachment 3297131
Halafu tueleze what’s going on in Bangladesh .? 🤣🤣👇🏾