Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Footballing nation 🤣🤣🤣🤣
Sisi tuna ligi bora, kiwango chetu cha uchezaji na wachezaji mpira ni kikubwa sana ila tuna tatizo kubwa kwa sasa tangu huyu Wallace Karia yuko madarakani. Tatizo letu ni bench la ufundi.

Mimi masaa mengi kabla ya mechi niliongelea hili na kutoa tathmini ya matokeo.


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1904578935976865922


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1904576463723995214


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1904578935976865922
 
Asante kwa ku compare Temeke (uswazini) to your best place in Nairobi.
 
Anza kijana wa Tandale
Screenshot_20250326_223205_Photos.jpg

We pimbi nishatuma picha 3 za umaskini ulivyotamalaki huko ukunyan,mbona utumi za TZ sasa tuone umaskini wake?
 
Back
Top Bottom