Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tushindane aje na watu wana import magari za 1990's 🤣 🤣 🤣 We are not on the same wavelength.
si hua munakimbia hapa niliwaekea bugati chiron coupe mukatoka mbio kunguni nyinyi 😂😂😂😂😂 alaf ajabu jamaa owner hata hana jina wala hajulikani

View: https://www.instagram.com/p/DEu15YCNz5j/?igsh=MTRpODU3a3ZtNTY0Zw==

View: https://www.instagram.com/p/DFJGiCJt7QF/?igsh=MWprcXIyMzQya2dhZw==

na sio kwamba iko moja tu 😂😂😂
bugatti veyron

View: https://www.instagram.com/p/DGI8hf-tK97/?igsh=eXpxMXBudGplbXlt

View: https://www.instagram.com/p/DF24OtPN6dv/?igsh=MTh4d2ZlMXE3bm9yaQ==
 
Sisi kwenye affordable housing tumeanza kitambo kabla hata ruto hajazaliwa kipindi wakenya masikini hawana haki ya kuwa na ardhi wote wanakusanyea kibera na slum nyingine

Unafikiri Nairobi watu million 5 kuishi kwenye slums ilikuwa ghafla?
Mlianza kitambo indeed wakati Dar ni uswazi kushoto kulia
 
Can this be defined as old school or throw back?..🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3283899View attachment 3283900
na hizi zilipendwa zilizojaa nairobi na mombasa tuziweke kwenye kundi gan??😂
IMG_5483.jpeg
IMG_5484.jpeg
IMG_5485.jpeg
 
tanzania na congo zinahistoria kubwa sana na tanzania ndio nchi iliwapigia kifua congo kupata uhuru wao, ndio maana hata rais alietoka madarakani congo alisomea tanzania na mpaka leo dada yake anaishi kinondoni dar

so wewe nikuulize haiti munauhusiano gani na nyie nchi iko km 10,000 kutoka kwenu, kisa marekani aliwaambia atawalipa pesa mukaona pesa inathamani kuliko watu wenu wapumbavu nyinyi alaf pesa yenyewe wanaenda faidi wenye matumbo yasioshiba
 
Bongolala, so it's now about mahusiano, not soldiers/police being killed? Sasa unaona what I meant when when I said you are desperate?
 
kasomeni history kwanza kitumulisoma shuleni nyinyi ni kuwadanganya wakenya kua kenya iko level za finland 😂😂😂😂
Bongolala, you shared Tweets about a Kenyan police killed in Haiti. When I remind you that you also lost soldiers in the hands of rebels in DRC unaleta sasa povu za sijui history sijui elimu. Wewe desperation itakuuwa bure
 
Back
Top Bottom