Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
naomba nioneshe hio chiron ikiwa inatembea nairobi hapo ππππ
alaf bugatti ya mwaka gani hio 2008 auπ
watu wameshusha bugatti chiron coupe 2024 hakuna east and central africa mzee
View: https://www.instagram.com/p/DEu15YCNz5j/?igsh=MTRpODU3a3ZtNTY0Zw==
Kwa hivyo ilifikaje Kenya na kupewa plate numbers za Kenya if it wasn't meant to roam the streets? Wewe bwege sana!