Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,049
- 33,265
Your SGR runs on a loss proper.tanzania financial year inaanzia tarehe 1/7/ year mpaka 30/6/ ya mwaka unaofuata. sgr oparation imeanza july ya 2024 kwa hiyo haiwezi kuwa katika report ya 2023/2024 kwa sababu mwaka wake wa fedha au report yake itakuwa kwenye report ya 2024/2025
View attachment 3284761