ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,353
- 88,438
Nchi ya maziwa inafanya importation ya Maziwa na Mayai kutoka nchi ya njaa😂😂Si huwa mnasema mnatulisha? Inakuwaje tena mnaimport maziwa, mayai na biskuti kutoka Kenya? Land of milk and honey na mnaimport hayo hayo maziwa?😄😄😄
MpTulia pole pole usaidie shirika lako kukunywa hasara😂😂Hayo mambo wanafanya hapo KQ ni exotic accounting utajulia wapi wewe mkibera.
Hata kusoma siku hizi hujui?mumepungusa hasara sio kupata faida mzee jua kutofautisha mambo 😂😂😂
1. You need English classes if you can't define food.Maziwa ni beverage! Na unless unatuhakikishia hakuna maziwa yanaingia kenya toka nchi jirani, ulichoongea ni ujinga!
Hata wewe rudi shule. Before that, nunua hapo maziwa ya Kenya uteremshie biskuti ya Kenya alafu baadaye ukaange mayai ya Kenya ule.Hayo uliyosema sio chakula ni biburudisho
😂😂😂Nchi ya maziwa inafanya importation ya Maziwa na Mayai kutoka nchi ya njaa😂😂
Na pia atafute smockies/Sausages za Kenya aende akakuleHata wewe rudi shule. Before that, nunua hapo maziwa ya Kenya uteremshie biskuti ya Kenya alafu baadaye ukaange mayai ya Kenya ule.
😂😂😂😂😂😂😂
Yani wanajidunga mishale wenyewe. 😄😄
Baaas😂Na pia atafute smockies/Sausages za Kenya aende akakule
Hiyo loss ni ya SGR pia😂😂😂.“CAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.”
Naona chawa umekimbia kupost ukidhani ni SGR. 😂😂😂
tanzania financial year inaanzia tarehe 1/7/ year mpaka 30/6/ ya mwaka unaofuata. sgr oparation imeanza july ya 2024 kwa hiyo haiwezi kuwa katika report ya 2023/2024 kwa sababu mwaka wake wa fedha au report yake itakuwa kwenye report ya 2024/2025Hiyo loss ni ya SGR pia😂😂😂.
Ama siku hizi SGR is not part of TRC?
Kawaingiza mkenge mpaka wanusa gundi wakadhani ni sgr, walivyo hawana akili wameshindwa hata kuelewa "......iliyosababisha kufungwa kwa njia kwa miezi minne"“CAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.”
Naona chawa umekimbia kupost ukidhani ni SGR. 😂😂😂
faida ya sgr haio katika report tajwa kwa sababu sio mwaka wake wa kureport. mwaka wake itakuwa 2024/2025., ukaguzi wake huwa unaanza baada ya mwaka wa fedha kuisha , ambapo mwaka wake wa fedha bado haujaisha , utaishia 30/6/2025Kawaingiza mkenge mpaka wanusa gundi wakadhani ni sgr, walivyo hawana akili wameshindwa hata kuelewa "......iliyosababisha kufungwa kwa njia kwa miezi minne"
Kwa kifupi faida inayotoka sgr ndiyo inaendesha shirika kwa sasa.