NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,976
Hiyo Bugatti Chiron ameokota picha mtandaoni akaweka. Hapo sii Bongolala.Jaba hot riders. 🤣 🤣 🤣 Page za luxury cars za ukweli bongoslum tunazijua.Sisi sio wajinga bana.
Hiyo Bugatti Chiron ameokota picha mtandaoni akaweka. Hapo sii Bongolala.Jaba hot riders. 🤣 🤣 🤣 Page za luxury cars za ukweli bongoslum tunazijua.Sisi sio wajinga bana.
RR spectre😂😂😂😂 wabongo usishindane nao mzee na hawana hata majina kabisa vijana wadogo tu
View: https://www.instagram.com/reel/DHqZOMoNg1Z/?igsh=NWlkZnpjeWZhOGs2
Afadhali mimi nakuletea magari zenye ziko na number plates za Kenya. Wewe, on the other hand, unatuletea magari ambazo hazina hata plate numbers na kusema ni za kwenu! Saa Kati yangu na wewe nani aaminiwe?hii hapa ndio nataka kuona unabadilisha gear angani 😂😂😂😂😂😂
View attachment 3284175
That shows a slum and next to it is a well organized area. Dar is slum ni uswazi kushoto kulia as far as the eyes can see.View attachment 3284168
HIi mbona umeiruka?
lakini zinaoneka zikiwa tanzania 😂😂😂Afadhali mimi nakuletea magari zenye ziko na number plates za Kenya. Wewe, on the other hand, unatuletea magari ambazo hazina hata plate numbers na kusema ni za kwenu! Saa Kati yangu na wewe nani aaminiwe?
Nikisema hio page ya IG hupost gari za uongo from other countries wanajam. Sasa ona hii Ferrari ya Kenya wameitoa plates alafu anadanganya mafala from bongoslum. Hadi amwewakea owner. 🤣 🤣 🤣 🤣
View: https://www.instagram.com/p/DHnyphZtg1q/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Evidence kwa kalatas. 🤣🤣🤣
View: https://x.com/_waigera/status/1869645944939332018
Ju huyo ameandika kama owner ni mkenya sio? Nimekuambia sisi sio mafala.onesha wapi kasema ni ya tanzania huyu anapost gari za africa nzima ikiwa iko tanzania atakwambia ni ya tanzania na ikiwa kenya hua anasema ya kenya so wewe unataka adanganye??? wakat anapost mpaka gari za kina davido etc😂😂
Mbona ametoa number plate na aka blur background if he got nothing to hide? Unadhani hatujui tactics zake. Fala sana. 🤣 🤣 🤣onesha wapi kasema ni ya tanzania huyu anapost gari za africa nzima ikiwa iko tanzania atakwambia ni ya tanzania na ikiwa kenya hua anasema ya kenya so wewe unataka adanganye??? wakat anapost mpaka gari za kina davido etc😂😂
Nikisema hio page ya IG hupost gari za uongo from other countries wanajam. Sasa ona hii Ferrari ya Kenya wameitoa plates alafu anadanganya mafala from bongoslum. Hadi amewawekea owner alafu ana edit background ndio watu wasishikanishe. 🤣 🤣 🤣 🤣
View: https://www.instagram.com/p/DHnyphZtg1q/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Evidence kwa kalatas. 🤣🤣🤣
View: https://x.com/_waigera/status/1869645944939332018
kutoa number plate kuna watu hawapendi gari zao zionekane na number plate kwa ajili ya usalama, huwez kua na exposure ya mambo haya wakat umelala na mbuzi makuru kayaba 😂😂😂😂Mbona ametoa number plate na aka blur background if he got nothing to hide? Unadhani hatujui tactics zake. Fala sana. 🤣 🤣 🤣
Eti should pastor's drive V12. 🤣 🤣 🤣 Mbwa hata hana aibu, hio gari ni ya mkenya. Huyo pastor wenu from bongolala does not own a Ferari.tena kaandika mpaka owner 😂😂😂😂
huyu anapost gari za africa nzima wapi kasema ni ya tanzania
View attachment 3284215
huyu anapost gari za africa nzima mpaka za kenya hua anapost lakini ww nikama umeumia tu bila sababu 😂😂😂😂Ju huyo ameandika kama owner ni mkenya sio? Nimekuambia sisi sio mafala.
The plate was already hidden kwa original pic wacha excuse za ufala. 🤣🤣🤣kutoa number plate kuna watu hawapendi gari zao zionekane na number plate kwa ajili ya usalama, huwez kua na exposure ya mambo haya wakat umelala na mbuzi makuru kayaba 😂😂😂😂
Huyo tumemzoea kwa uongo. He can't fool us, sisi sio bongolala kama nyinyi.huyu anapost gari za africa nzima mpaka za kenya hua anapost lakini ww nikama umeumia tu bila sababu 😂😂😂😂
na ikiwa ya tanzania anaandika kabisa tanzania 😂😂😂😂
hvi wewe unaelewa kiswahili kweli😂😂😂Eti should pastor's drive V12. 🤣 🤣 🤣 Mbwa hata hana aibu, hio gari ni ya mkenya. Huyo pastor wenu from bongolala does not own a Ferari.
Sawa ni gari ya huyo pastor wenu basi. 🤣🤣🤣hvi wewe unaelewa kiswahili kweli😂😂😂
hebu mtaje huyo mkenya sasa 😂😂