chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,315
- 45,115
Imagine pamoja na Ethiopia kuwa ndio continental aviation hub Africa lakini tumewapita number of international receipts, Kunyaland inayohesabu kila abiria alieboard KQ ni Kunyaland tourist no matter his/her destination ndio wanasema wametupita kwenye tourism 😂😂😂 Yaani serikali yao as long as umeboard KQ wanakuingiza kwenye list hata kama unatoka New York to Nigeria ila tu mlipita naislum kuconnect wewe ni tourist in Kunyaland 😂😂😂 na wanakusebu kama ulitumia unstoppable leaking terminals zao hata kama hukushuka kwenye ndege 😅Wanapika Data sana hao. Kwanza walisubiri waone figure za Tanzania. Ila ukweli wanaujua wenyew.
Hata Data za Mombasa port sio za kweli. Dar ukiangalia kwenye ships in port and expected ships. Dar port huwa ina ships nyingi na busier kuliko Mombasa siku zote. Lakin wakitoa Data wanasema wahudumia tani sijui ngap huko. Ni waongo waongo tu. Tushawazoea
View: https://x.com/kenyanwalstreet/status/1090175346626965504?t=aJTp7LvjD3ebLIiYHeRp-Q&s=19