ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,264
- 163,940
hzo ni sehemu zimejengwa within a short time hapo ni over 30km from CBD kulikua ni pori maeneo hayo 5 yrs agoBarabara zote ni vumbi. Yani nyinyi mambo ya lami mliombana nayo msamaha?
hzo ni sehemu zimejengwa within a short time hapo ni over 30km from CBD kulikua ni pori maeneo hayo 5 yrs agoBarabara zote ni vumbi. Yani nyinyi mambo ya lami mliombana nayo msamaha?
Kwani kabla ya Ununuzi wa Boeng hizo horticulture ziliwahi kosa soko? 😂😂madini yanaeleweka aliefanya mageuzi makubwa sana leo hatuskii tanzanite inatoka india au kenya 😂😂😂😂 haya ni matunda ya jembe
utalii vile vile tulikua tumelala kaja kutuamsha na kuongeza baadhi ya hifadhi za utalii kutoka kwenye mapori ikiwepo nyerere national park etc leo inazalisha mapato makubwa ambayo hayakuwepo awali 😂😂😂😂 leo tunashangilia utalii ila tumesahau air tanzania ilifufuliwa kwa dhumuni hilo la utalii
tunafurahia horticulture ila tunasahau kwann manunuzi ya boeing 767 cargo ilinunuliwa 😂😂😂😂 kwann air tanzania ilifufuliwa hayo hatuyajui ila kwasababu ni uchawa umetujaa na upigaji
alaf unakuja kutudanganya hapa lugha za siasa eti viwanda zaidi ya elf 30 labda viwanda vya kushona viatu mitaani😂😂
zilikua zinaozea mashambani na zingine zinaozea kwenye maghala 😂😂😂Kwani kabla ya Ununuzi wa Boeng hizo horticulture ziliwahi kosa soko? 😂😂
Mageuzi gani yalifanywa? Samia amegawa mitambo Kwa qachimbaji wadogo,amewapelekea umeme,amewafutia na kupunguza tozo,amewapa kitambo ya Utafiti nl nk
Hao wengine walifanya nini?
Kwenye Utalii mlikuwa mumelalaje? 😁😁
Kwamba alifanya Royal tour au siyo?
Aliyeharibu Kilimo ni Rais yupi?zilikua zinaozea mashambani na zingine zinaozea kwenye maghala 😂😂😂
leo tunafurahia cargo plane tunakenua na meno yote 32 bila aibu 😂😂😂😂
mageuzi ya kwanza ni kwenye sheria na katiba alaf ndio utekelezaji sasa, kwan siku hzi unaskia tanzanite inatoka kenya au india ?????
unaenda kuleta mzungu kucheza filamu ya royal tour alaf watalii wanaokuja ni wachache kuliko wanaotoka tanzania na africa 😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
hvi yule mzungu alichukua bei gani aisee?
Kundustan mna akili ndogo sana kuhusu concept ya Utalii 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFhajv-N47p/?igsh=dDV4YjEzM2lxMWV6
eti aliharibu kilimo wewe punguani kweli, wale wakulima wakorosho waliokua wanapigwa na madalali miaka yote siku hzi wapo?? au mumesahau leo? 😂😂Aliyeharibu Kilimo ni Rais yupi?
Bidhaa zilioza na kukosa soko awamu ya nani?
Aliyekuwa anaendekeza migogoro na majirani ni Rais gani?
Mwisho unaweza nitajia investment yeyote aliyofanya Mwendazake kwenye sekta ya Kilimo?
enjoy plz 😂😂😂😂Aliyeharibu Kilimo ni Rais yupi?
Bidhaa zilioza na kukosa soko awamu ya nani?
Aliyekuwa anaendekeza migogoro na majirani ni Rais gani?
Mwisho unaweza nitajia investment yeyote aliyofanya Mwendazake kwenye sekta ya Kilimo?
Kwani bila Cargo plane za ATCL hakuna Cargo plane za mashirika mengine?
Kwani wakati ATCL haina mandege hayo yanayoleta hasara tikuwa hatusafiri na low budget private planes? 😁😁
kenya ilishajifia muda tu kaka sasa hvi wanatafuta mtu wakumshushia jumba bovu nae washampata ni kasongo😂😂Jkia kwishynei,sijui tuutegemee upi
Madalali mliwamaliza? Kwa hiyo mlivyosomba korosho kwa makarandinga ya Jeshi mkamaliza madalali? 😂😂😂😂eti aliharibu kilimo wewe punguani kweli, wale wakulima wakorosho waliokua wanapigwa na madalali miaka yote siku hzi wapo?? au mumesahau leo? 😂😂
so ulitaka waingize mufugo yao kwenye hifadhi za taifa kwan sheria ya hifadhi inasemaje?? yeye alitala sheria ifuatwe ukiingiza mifugo kwenye hifadhi unataifishwa ndivo sheria inasema full stop😂😂😂😂
sio kilimo pekee mpaka mageuzi yaliofanyika kwenye uvuvi na ufugaji leo hii tuanshangilia kuuza nyama oman na nchi za kiarabu bila zile modern slaughter za kimataifa kujengwa unafkiri tungepewa tender ya kuuza nyama nje ya nchi hii??😂😂 na alikua anatuambia tunaongoza kwa ng'ombe africa sijui tuko number mbili
Internal tourists sio visitors ni kina nani? Trainers au watchers 😂😂Sasa watalii wa ndani wanakuwaje visitors? 😂 😂 Ndio maana huwa nasema humu hizi data za tourism za Kenya na Tz huwa hazimake sense. There's soething that's never been clear to me.
We've been receiving more visitors by far alafu wanasema wanapata pesa kutushinda.
JKIA alone handles over 8M passengers, all their airports combined hazifiki hata 5M - bado waseme wanapata more than us.
There is a lot of cooking and opacity in your data. Sasa Kenya tunaweka visitors, nyinyi mnajiweka wenyewe 😂😂. Doesn't even make sense. How do you even determine you were a visitor in your own country and the other person was not?
walimalizwa au walitolewa kwenye mfumo wa udalali na sheria kali zikawekwa na ndio ikawa historia wakulima kufaidika na zao la korosho hata bei ya mauzo ikapanda au tumesahau😂😂Madalali mliwamaliza? Kwa hiyo mlivyosomba korosho kwa makarandinga ya Jeshi mkamaliza madalali? 😂😂😂😂
Vipi kuhusu mbaazi na chorokokulosa soko?
Madalali saizi wapo au hawapo? Na Kwa nini?
Mizozo ya Kila mara inayohisu biashara ndio kuingiza mifugo kwenye hifadhi?
Nitajie Mageuzi aliyofanya Mwendazake kwenye Kilimo na Uvuvi na weka ushimahidi maana Kwa mama unaona Kila siku anazindua boti,anawapa mikopo na anatafuta soko la mazao.
imekuuma sana hzo sheria za kilimo zilibadilishwa tena kwa maamuzi magumu sana na ndio zinatusaidia mpaka keshoUmeona hapo kwenye Listi ya mazao Chikichi ipo?
Wacha nikupigie hesabu ndio ucheke.International tourists are more than total airport PAX in their country for both international and local travelers.😂😂
walimalizwa au walitolewa kwenye mfumo wa udalali na sheria kali zikawekwa na ndio ikawa historia wakulima kufaidika na zao la korosho hata bei ya mauzo ikapanda au tumesahau😂😂
View: https://youtu.be/OWNgcxZg5go?si=7Te4j-bHaKW4XMtT
Kundudwellers bhana.Wacha nikupigie hesabu ndio ucheke.
They have 3 International Airports - Kilimanjaro, JNIA na Abeid Karume.
JNIA 2.4M
KIA 900K
Abeid Karume 1.4M
Total = 4.7M
Kumbuka JNIA yao ndio kila kitu hapo Dar unlike Nairobi where Wilson handles most of the internal flights, hapo JKIA hata Cessna za kwenda Serengeti zinatua huko.
So tuseme kwa hiyo 4.7, about 2M ni Internal flights.
Hapo unabaki na 2.7M
Kwa hiyo 2.7M, nusu ni departures, nusu pekee ndio arrivals.
Unabaki na 1.35M
Kwa hiyo 1.35M, kuna locals ambao labda walitembea ughaibuni sasa wanarudi - hao hatuwahesabu kama visitors.
Hapo unabaki na nothing more than 800k.
Kwa hiyo 800k tuongeze visitors by road ambao wametoka nchi jirani kama Kenya, Uganda, Zambia n.k. Hao hawawezi zidi 400k.
The true figure hapo ukipiga hesabu haiwezi zidi 1.2M.
Take that to the bank and you'll cash it within 30 minutes.
Jibu swali ,umeona Chikichi kwenye list? Kama hujaona ujue ni masimulizi ya propaganda ndio maana huwezi weka namba.imekuuma sana hzo sheria za kilimo zilibadilishwa tena kwa maamuzi magumu sana na ndio zinatusaidia mpaka kesho
mbona hamjagusa sheria za madini so far mulikua munasubiri nn sasa😂😂😂😂 au munajua kushangilia mafanikio tu