Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Weww umezoea kuvaa nini mzee.?Wewe umezoea kuvaa rugs so ukiona wenye wamevaa decently unabaki ukishangaa.
Weww umezoea kuvaa nini mzee.?Wewe umezoea kuvaa rugs so ukiona wenye wamevaa decently unabaki ukishangaa.
Mbona kama umekasirika.? 🤣🤣Wewe baboon tangu lini mkaanza kucheza rugby? Wewe hadi vitu hufai kuongelea unapunilia hiyo midomo yako kubwa.
Alafu rank ndio winning a tournament? Mliwin tournament ya FIFA at position at 106?
I was being sarcastic for that reason 😂Hata huko pia Bien ashaanza kuwapiga vibare.
No sane person wear rugs Kama zile zako.Weww umezoea kuvaa nini mzee.?
Siku mtashinda any world Tournament njoo tuongee.Mbona kama umekasirika.? 🤣🤣
Umegoma kuleta ranks.?
Kumbe hio 5 million ina include domestic tourists. 🤣 🤣 🤣 WTF, bongoslum mpunguze jokes hata kama ni campaign munafanyia huyo mama yenu.
Wewe na yeye ni washamba sitawalaumuNo sane person wear rugskama zile zako.
Huyu huwa anatamani sana kufika Nairobi. His is a case of living in denialSema tu huna hela wacha siasa nyingi.
Just post picha yako tuone …oh never mind… nimeiona tayari ..🤣🤣🤣Wewe na yeye ni washamba sitawalaumu
Halafu watu wakadhurumiwa korosho mpaka kesho Kuna watu bado wanadai.simulikataa kununua akasema serekali itanunua kwa bei ya 3300 jambo ambalo halijawah kutokea toka tumepata uhuru😂😂
haiwezi doda kwa sasa kwasababu mipango mikakti iliandaliwa vzr kwa kuondoa madalali katikati ya biashara na kuufanya biashara ya moja kwa moja kutoka kwa wakulima, hapo biashara itadoda vp wakat hao hao madalali ndio walikua wanakwamisha biashara 😂😂😂
yani tumesahau kabisa🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Kwani umeambiwa ukipeleka mawese yako pale murzah oil hawatanunua? Hayo mawese wanayahitaji sana kwa sabab ndo yanayotumika kuzalisha mafuta yetu Pendwa.si mumerudisha mafisadi juu ya meza unafkiri wafanybiashara wanaoleta mafuta ya kula watashangilia na watakubali mazao ya michikichi yapandwe na kiwanda kijengwe? 😂😂😂😂😂
wakat mwengine nchi inaongozwa kwa maamuzi magumu sana
zilikua zinaozea mashambani na zingine zinaozea kwenye maghala 😂😂😂
leo tunafurahia cargo plane tunakenua na meno yote 32 bila aibu 😂😂😂😂
mageuzi ya kwanza ni kwenye sheria na katiba alaf ndio utekelezaji sasa, kwan siku hzi unaskia tanzanite inatoka kenya au india ?????
unaenda kuleta mzungu kucheza filamu ya royal tour alaf watalii wanaokuja ni wachache kuliko wanaotoka tanzania na africa 😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
hvi yule mzungu alichukua bei gani aisee?
alaf tulikua tumelala tunasubiri rehma za MUNGU 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://www.instagram.com/p/C_xzeM_NL8A/?igsh=a2twYTI2d2gwdHhj
Kuna mabadiliko ya mpaka oktoba 2024 ila wamekaririshwa kuwa magu ndo alifanya mabadiliko.Jibu swali ,umeona Chikichi kwenye list? Kama hujaona ujue ni masimulizi ya propaganda ndio maana huwezi weka namba.
Pili sheria zipi zilizobadilishwa kuondoa madalali? Nitajie? Maaa nakusubiria ujae kwenye mfumo Ili na Mimi nikuoneshe kilichoondoa madalali.
Mwisho una uhakika sheria za Madini hazijaguswa? Nikuoneshe zilivyoguswa?
Zetu zinatolewa na UNWTO zenu zinatolewa na a wheelbarrow party secretary in charge of brainwashing paupersSasa watalii wa ndani wanakuwaje visitors? 😂 😂 Ndio maana huwa nasema humu hizi data za tourism za Kenya na Tz huwa hazimake sense. There's something that's never been clear to me.
We've been receiving more visitors by far alafu wanasema wanapata pesa kutushinda.
JKIA alone handles over 8M passengers, all their airports combined hazifiki hata 5M - bado waseme wanapata more than us.
There is a lot of cooking and opacity in your data. Sasa Kenya tunaweka visitors, nyinyi mnajiweka wenyewe 😂😂. Doesn't even make sense. How do you even determine you were a visitor in your own country and the other person was not?
Umesikia wapi wafanyabiashara wanaolima alizeti na ufuta wakisema mafisadi wamewanyima soko ?
Utopian thinking ndio maana mliharibi uchumi Kwa akili za kijinga kama hizo 😁😁
Sasa kw taarifa Yako tuu Mama ameondoa madalali Kwa njia ifuatayo 👇 👇
View: https://www.instagram.com/reel/DFz7hyNCfwa/?igsh=dzJvN2IyaG1qemh0
Mlishaweza hata kuzirusha hizo skrepa wenyewe bila wazungu kweli?Ile siku wavunja matofali watazua, wakipata.
View attachment 3256187