ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,864
Kama alianzisha ilikuwaje kukawa na madalali kwenye korosho na mazao mengine?Alieanzisha TMX ni Magufuli for your information through public social security fund.
View attachment 3257094
Kama alianzisha ilikuwaje bei ziliporomika mazao na Kilimo kikadoda?
Kama all anzisha hiyo kwa nini wanunuzi wakimbie? Kwa nini Kilimo badala ya Kukua kilididimia as opposed to now?
Mwisho mambo yanafanyika kimtandao "online" wewe unaleta habari za kujaza fomu manually.
View: https://www.instagram.com/p/DF0blC3N2_m/?igsh=MTRkcHBjMndzbHBvMw==