Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,895
- 103,759
Wamebakia Kundustan tuu ndio vibaraka 😁😁👇👇
View: https://x.com/AbroadTanzania/status/1896299019791696254?t=6alX84lYDSJUD6LdhPW7jg&s=19
Hii niliona maeneo ya Mombo,Korogwe jumapili ile ya 23/02Watu wanasombwa kwenye mafuso, watoto wadogo na walimu wao wanakatishwa vipindi waende kwenye mkutano ili tu Samia aonekane amejaza uwanja
That was Kenya during Moi era … in Politics, feeding into sycophancy is a characteristic of a dictatorship…but Bongo is in denial…CCM na Mama Milele ..😁😁Hii niliona maeneo ya Mombo,Korogwe jumapili ile ya 23/02
Wivu plus jealous 😂😂Ati Marekani?… Lol.. Maybe UFA.. United Filtered of America…🤣🤣🤣
Sisi ni washamba just because we don’t wear rugs?Wewe na yeye ni washamba sitawalaumu
So watalii wenye wanakaju Tanzania they report to UN first ama? Alafu mbona hawaongelei tourist numbers? Ama siku hizi % change imekuwa actual numbers?Nani anatoa hizo data?
Official data kutoka united nations hata Kunyaland haipo top 100
View attachment 3257168
Ukikosa M23 wanakupiga risasi.
JWTZ hata hawajapatana na alshabaab
View: https://x.com/TwirwanehoMoise/status/1896100282502987801?t=A1Y497DoDzFYBpYcENhApA&s=19
Vitu vidogo sana hivyo.I told you Tanzanian army is the weakest army in Africa. Yani majamaa wamepigwa vita wakakimbilia Rwandwa😂😅.
Sasa wanakaguliwa kwa border kama wezi😂😂
Kwani International Civil Aviation Organization (ICAO) inavyotoa statistics za issues za aviations huwa kila ndege huwa inaenda kureport UN? Hakuna an international tourist zinangatia neno international tourist, hawezi kupita kwenye international airports bila UNWTO kuwa na informations zake.So watalii wenye wanakaju Tanzania they report to UN first ama? Alafu mbona hawaongelei tourist numbers? Ama siku hizi % change imekuwa actual numbers?
Wewe huoni hii aibu? 😂😂😂👇👇Vitu vidogo sana hivyo.
Ebu tuonyeshe desk ya UNWTO hapo Mabati Rolling Mill ama hata any airport in the world. Wewe unaongelea vitu huelewi kunhuru hii.Kwani International Civil Aviation Organization (ICAO) inavyotoa statistics za issues za aviations huwa kila ndege huwa inaenda kureport UN? Hakuna an international tourist zinangatia neno international tourist, hawezi kupita kwenye international airports bila UNWTO kuwa na informations zake.