Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Attachments

  • IMG_5475.jpeg
    IMG_5475.jpeg
    437.6 KB · Views: 13
is there an oath that you guys swear on before you’re given an ID? Or is it just the culture to deny in broad daylight. I don’t get it. So all these people (daily users) are also like meView attachment 3255294
View attachment 3255292
View attachment 3255297View attachment 3255298
Ona vile watu wanaskumana na kukimbilia basi

View: https://youtu.be/YKTh3Qp9_nY?si=2QNOv8oVEGEcRh_h

You must have few lose screws in your head. It's normal during rush hour. This is my last response.
 
Wewe na nani ambao mlipewa kazi ya kusema huu ni mkataba mzuri au mbaya? 😁😁

Hii ni bei kubwa au ndogo? 😁😁

Acha ujinga
tulielezewa na kwa tanzania hii awamu ya mkwere inaeleweka mambo yalisainiwa ovyo ovyo hata siwez kukataa😂😂😂😂

watu walikua wanafunga bara nzima yote ni pesa za ufisadi na rushwa au nadanganya?
 
tulielezewa na kwa tanzania hii awamu ya mkwere inaeleweka mambo yalisainiwa ovyo ovyo hata siwez kukataa😂😂😂😂

watu walikua wanafunga bara nzima yote ni pesa za ufisadi na rushwa au nadanganya?
Ovyo ovyo ndio inakuaje?

Mlielezewa na nani na Sasa hivi mnaelezewa na nani?
 
Ndio kwani hujasoma kwamba Serikali ya mama imepata Mkopo wa $ 2.5bln na from hiyo hela kuna arena.

By the way yule mtu wenu alithubutu hata kutenga? 😂😂
from 54trillion to 100 trillion in 3 yrs na hakuna kitu chochote so far😂😂😂😂

uwanja wa mpira arusha unajengwa kwa 320b of 30k seats alaf arena inajengwa kwa 450b of 15k seats tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini 😂😂😂

ndio maana siku hzi traffic kuchukua rushwa hadharani ni jambo la kawaida hawana hata wasiwasi kabisa
 
Back
Top Bottom