Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha Ina BRT unasema ya zamani? 🤣🤣
We maku route ndefu ya brt kivukoni to mbezi ni zaidi ya km 25,na ndani ya dakika 20 unakua ushafika na hapo kuna wanaoshukia njiani,tuambie huko naikundu kwenye public transport km 25 utatumia masaa mangapi?
 
U
Unaogopa Mombasa mpya, imebidii utafute picha za Mombasa old town ujiliwaze na bado hata hio old town bado iko sawa sana.
Mombasa mpya iko wapi? Mombasa yote imejaa nyumba za udongo na makazi holela kushoto kulia, wacha ujinga.
 
Ukisema haikufanyiwa KAZI inatakiwa ujue Kila mpango wa serikali unaenda kwa awamu.
Mfano kipindi kikwete anapokea nchi central corridor ilikuwa kama imefungwa na watu wa mwanza ili kufika dar iliwalazimu wapite Nairobi akaifungua na kupafingua mtwara. Awamu ya kikwete ndo imejenga barabaran nyingi sana kulingana na tanroads.

Akakomaa nashida ya umeme ndo iptl na song as zikazaliwa akaongeza ajira maradufu ambayo ilileta multiplier effect kwenye uchumi wakati magu anakabidhiwa rungu aliambiwa kabisa Kuna ujenzi wa reli na muhimu sana kwa ajili ya kuovertake Nairobi na hata ukiangalia barabaran alizojenga magu kwa awamu ya kwanza tu na zile za kikwete awamu ya kwanza za magu hazifiki hata 1800 km huku jk akiwa na zaid 3300km kwa kuanzia 2005-2010.
Kila kitu kinaenda kwa awamu
Eti kutoka mwanza kuja Dar kabla ya kikwete ilikuwa lazima upitie Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umejuaje kwetu ni mwanza👇 😂😂😂
1000010407.jpg
 
Back
Top Bottom