Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haha taja barabaran yoyote ya kutoka mwanza iliyokamilika kabla ya 2005
Mm nikiwa kijana mdogo kabisa miaka ya 90s familia yangu pamoja nami tulihama kutoka Dar kwenda mwanza kwa kutumia barabara na tulirudi kwa kutumia treni, hatujawahi kupitia Nairobi, kuhusu barabara kuwa mbovu kwa miaka ile ni kawaida kwa Africa, mpaka sasa nchi nyingi hazina road za kueleweka za kuunganisha mkoa kwa mkoa ukiacha TANZANIA.
 
Huyo mwenye idea kafanya machache sn kulinganisha na aliyefuatia, kuona ni kuamini.
Mimi nadhani ili twende sawa ilitakiwa tuwe na cost analysis na ripot ya ukaguzi wa hiyo miradi .
Pili total value ya hiyo miradi multiplier effect yake.
Capacity ya muda husika
 
Mm nikiwa kijana mdogo kabisa miaka ya 90s familia yangu pamoja nami tulihama kutoka Dar kwenda mwanza kwa kutumia barabara na tulirudi kwa kutumia treni, hatujawahi kupitia Nairobi, kuhusu barabara kuwa mbovu kwa miaka ile ni kawaida kwa Africa, mpaka sasa nchi nyingi hazina road za kueleweka za kuunganisha mkoa kwa mkoa ukiacha TANZANIA.
Sidhan basi uliwahi fika mwanza kipindi hicho.
Barabaran za kutoka nzega mpaka manyoni na dodoma zimeanza kujenga miaka ya 2004 mpaka 2006 na ili uweze ufike mwanza kwa unahisi kama hutumii treni na kwa haraka ilikuwa lazima upande basi kuzungukia Nairobi na ndo ilikuwa njian ya haraka kufika dar bila usumbufu.
Mabasi yalikuwa Scandinavia baadae sana akaja Mombasa raha na kadhalika na kwa kutumia njian ya vumbi ilikuwa ni sas limited toka bukoba , Mohamed trans kotekote,
Najmunisa na kadhalika. Sasa kama hujawahi tumia Nairobi basi ulikuwa unatumia zaid ya siku mbili wakati wenzio masaa 24 wako dar
 
It's normal during rush hour in all major cities around the world. The guy who posted and others are just like you.
is there an oath that you guys swear on before you’re given an ID? Or is it just the culture to deny in broad daylight. I don’t get it. So all these people (daily users) are also like me
IMG_1934.jpeg

IMG_1933.jpeg

IMG_1935.jpeg
IMG_1936.jpeg

Ona vile watu wanaskumana na kukimbilia basi

View: https://youtu.be/YKTh3Qp9_nY?si=2QNOv8oVEGEcRh_h
 
Ila mbona haya mambo yapo awamu zote au tumesahau ya kina polepole . Kitu pekee kinachoonekana ni kwamba tunalinganisha na aliyepita ila hamtaki tuongelee negativity za aliyepita.
Tunapenda tusikie ufisadi wa mama ila akiguswa aliyeondoka kama reference ni vita.
Ufisadi uliofanyika penzi za mwendazake ni mkubwa kuliko awamu zote na miradi mingi ilisimama ila kwa sababu ni malaika hatakiwi kuzungumzwa
Mtu alishajifia. Muache apumzike kwa Amani.
Tunaongelea sasa. Hatuwezi tukakaa kimya. Sasa hiv kuna wizi mkubwa sana and nothing is going on, na wala hakuna updates na uwazi. Mimi siku nikiona SGR Lot 3 and 4 wanaupdate kama Yapi Wanavyoupdate lot 2 kila mwezi then at least naweza wavumilia.
Mkuu kwa hali ya sasa hakuna any promising future kwa hii nchi.
Na sio mimi tu...ingia hata mtaani uliza wananchi wa kawaida, watasema wenyew
 
Sidhan basi uliwahi fika mwanza kipindi hicho.
Barabaran za kutoka nzega mpaka manyoni na dodoma zimeanza kujenga miaka ya 2004 mpaka 2006 na ili uweze ufike mwanza kwa unahisi kama hutumii treni na kwa haraka ilikuwa lazima upande basi kuzungukia Nairobi na ndo ilikuwa njian ya haraka kufika dar bila usumbufu.
Mabasi yalikuwa Scandinavia baadae sana akaja Mombasa raha na kadhalika na kwa kutumia njian ya vumbi ilikuwa ni sas limited toka bukoba , Mohamed trans kotekote,
Najmunisa na kadhalika. Sasa kama hujawahi tumia Nairobi basi ulikuwa unatumia zaid ya siku mbili wakati wenzio masaa 24 wako dar
Sijui hata unaongea kuhusu nn wewe jamaa, ni kweli tulitumia muda mrefu lkn hatukupita Nairobi na sijawahi kufika Nairobi na sifikirii kufika huko in the future.
 
I hope you no longer compare this to Mombasa.. 🤣.. btw .. too many trees 🌲 in Mwanza( lovely), but it’s ironic how you are anti trees for Nairobi.. nyinyi hamna msimamo … you blow with the wind..😁
Ili ni jibu zuri Sana. Ni nani yuko anti trees hapa between two countries...imagine comparing 6% to 50.6%
20250225_184205.jpg
 
We Listone Mutai umekuwa mjinga sn siku hz.
Cut that crap soja debate issues, sina mda wako kama una tabia za ki umama hapa. Ujinga is relative/subjective. Depending from where you see it, you might think something is dumb while the reality is you fail to understand it’s relevance or application which technically means you’re the fool
 
Back
Top Bottom