ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Soma hapa utaona kiwanda kimoja baada ya kingine Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendondio hii moja out of zaidi ya elf 30 ๐๐๐
orodhesha viwanda zaidi ya elf 30 hapa munatuletea lugha za siasa na uchaguzi๐
Ulitaka vijengwe Kwa bei gani?from 54trillion to 100 trillion in 3 yrs na hakuna kitu chochote so far๐๐๐๐
uwanja wa mpira arusha unajengwa kwa 320b of 30k seats alaf arena inajengwa kwa 450b of 15k seats tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini ๐๐๐
ndio maana siku hzi traffic kuchukua rushwa hadharani ni jambo la kawaida hawana hata wasiwasi kabisa
Mbona Bien kapewa maua yake! Soma comments za hiyo clip ya Youtube uone watu wanavyoponda audio quality! Kuna mtu humu ndani alikuwa anabishia Chris Brown kukataa ku-perform Ukunyani! Mkabisha!Ila ile perfomance ya Bien kwenye Trace Awards imewauma kweli. Yani kila baada ya post tano mnarudi hapo hapo kulinganisha perfamance za Vumbistan vs Kenya. Your cries are being loudly. ๐ ๐
Mbona Bien kapewa maua yake! Soma comments za hiyo clip ya Youtube uone watu wanavyoponda audio quality! Kuna mtu humu ndani alikuwa anabishia Chris Brown kukataa ku-perform Ukunyani! Mkabisha!
Angalia audio quality ya hii
View: https://youtu.be/TGwsFyeyzbk?si=NDDa5OyXnZmHrylm
Halafu linganisha na hii
View: https://youtu.be/sOTUuxuIwCo?si=OwrqaWGoqasz6u8E
| Component | Estimated Cost (USD) |
|---|---|
| Land Acquisition | $5M โ $20M |
| Design & Architecture | $10M โ $30M |
| Construction & Materials | $50M โ $150M |
| Seating & Interior | $10M โ $40M |
| Roofing & Structural Work | $15M โ $50M |
| Technology & Equipment | $10M โ $30M |
| Safety & Accessibility | $5M โ $15M |
| Miscellaneous & Permits | $5M โ $15M |
| Total Estimated Cost | $100M โ $300M |
Tanzanian version of ladyboysAre these women?
Hapa kwenye hili jukwaaa wewe na Watchman ndo hamjafika 001 na tunakuja sababu ni pesa. ๐๐๐Niiogope mombasa kwa mashoga.? Heb ulizia watu wakwambie vile watu wa Tanga tunavyowadharau watu wa mombasa, wamelemaa midomo wakiongea ๐คฃ๐คฃ๐คฃ ndio niiogope.? Niache kuogopa watu tough around Tz, niogope mashoga.?
Did you design this?
Jana Sound System ilikuwa ya Burna Boy, leo hii tena imekuwa ya Wakenya just because the quality of Burna Boyโs system was poor. Huyu mzee atachizi siku moja.Jana mmepost humu kwamba Burna Boy mwenyewe kaja na sound system yake. Leo hiyo hiyo sound system ya Burna Boy mnaitumia kuiponda Kenya. Mbona msimponde huyo Burna Boy mwenyewe mwenye mlisifia kwa kuchagua kuja na system yake mwenyewe?
Wewe ndio kipimo Cha viongozi Waziri au waaofanya kazi? ๐๐๐๐
Mnanipaga burudani sana ๐๐๐๐
View: https://www.instagram.com/p/DGqqjz9sZ88/?igsh=NWh6dWRnb25temE0
Sawa usijali, Ikiwa umeamua kuchukua negativity ni chaguo lako.Inategemeana na unavomchukulia mtu , lakini kwangu Mimi the most corrupt alikuwa hiyo anayeona alifanya mengi na evidence zipo wazi usipofushwe na miradi michache, pia hata Samia sio kwamba Yuko perfect Kuna vitu vingi vinaenda ndivyo sivyo ola huwez compare na magu.at least peace of mind kwa mfuatiliaji imepatikana ili uweze kuona utofauti angalie Ile rate ya wawekezaji inavyoflow , chukua hata mfano tu mabasi na malori then njoo kwenye ajira. Angalia rate ya faida kwenye mabenk ulinganishe na Ile shake ya mabenk kipindi cha mwendazake.
The only president alikuwa Nyerere ila sio magu mnayemsifia