Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikuogope kwa lipi wewe fukara? 😂
I don't quote you because most of the time you speak from a point of ignorance and excitement and your posts are mostly a mound of hogwash. I'd rather debate a fly than waste time quoting most of your replies. Otherwise, you're tiny in body stature, not very educated and poor, what is it about you that would scare anyone?
Jamaa anajifanya tough kwa keyboard yet ni beta male. Uneducated, beard less, poor, fugly and skinny 😂😂😂
 
Mombasa inaizidi mwanza vigorofa kadhaa tu. Otherwise Mwanza looks better than hiyo old town.

Again miji zote za Tanzania zipo green sana, many places in Dar also are very green.

Kuhusu greenery Tz iko mbele sana. Miji za kaskazini ndio balaa. Kuanzia Tanga, Moshi na Arusha.
Mwanza 2095

Image
 
This guy predicted it 3yrs ago about Bien and Sauti sol.


View: https://x.com/Dr_AustinOmondi/status/1895327637721256047

Mimi nlikuwa nawaambia hii kitu kila siku hapa kwamba hakuna levels za Bien Tanzania 😂
Kuna msanii kumshinda Bien Baraza hapa EAC?
Number 1 Apple Trending Music Tanzania- Extra Pressure Bensoul x Bien. Watch out for Kenyan music
 
Sielewi ni kwnn anapoteza muda wake kubishana na machawa, mpaka sasa anatoka nje ya reli. Hayo ni machawa anatakiwa aachane nayo, yanapost tweet inayosifia eti Rais kajaza uwanja, aiseee!!! Huyo ni mtu wa ku engage naye kweli?
Ndugu yangu ichoboy01 uwa anafeli hapo,ile kujibishana na yule chawa ni kama anampa airtime azidishe uchawa wake humu
 
Back
Top Bottom