KOMANDO YOSO
JF-Expert Member
- Sep 7, 2023
- 819
- 2,864
Huu uwanja wa dom me naona safi tu baada ya kupewa tafiti na maelezo.Hii hapa renda ya Dodoma stadium 👇🏾View attachment 3234552View attachment 3234553View attachment 3234554View attachment 3234555wale wazee wa sijui parking ya mkapa stadium ni ndogo, haya hii hapa funga kazi. Hatucheki na kima sisi.
Najua utakamilika mapema tu within this year also ni mkali
Ila vumbi nation kila kitu ni hapo kwenye slum 😁😂😁😁