Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,837
- 103,694
kidogo Tabora ipindue meza!
viti vya watchman?Seats installed at Kwale Stadium. Kenya
View attachment 3234596
mbona wenyu kashikilia bendera ya mende ili nn?Askari wa Tz hubeba magogo ya nini!? Mazuzu! 😂😂😂😂😂😂
View attachment 3234595
kweli hata sisi tunaona 😂😂😂😂
I never get the obsession with flag colours in stadiums.Seats installed at Kwale Stadium. Kenya
View attachment 3234596
Good comment, uwanja wa 80K tena nje ya Dar ingekuwa ni upotevu wa hela ,tusingeona ukijaa hata mara moja, hela ingetumika nying kujenga gofu, ni bora hii hela ijenge hata conference centre ya watu 3K hadi 5k au kujenga indoor staidum etc, . Hakuna team ya maana hata kujaza Jamuhuri dodoma ya 15k capacity .Dodoma city Ina watu 300k or less mkuu. Ikiwa Dar iko na watu 6 million na uwanja wa taifa wenye capacity ya watu 60k unajaa kwa nadra sana, vipi ujenge uwanja wa capacity ya watu 60k kwenye mji wa watu 300k ambao ndani yake kuna wasiofika uwanjani, watoto, wasio washabiki wa mpira, wazee n.k.? Kujenga uwanja mkubwa Dodoma ni kupoteza pesa, gharama za kuukarabati zitakuwa nyingi kuliko maingizo ya uwanja.
We mzeee unajikuta special sana kumbe upuuzi tu.we didn’t even need a Kenyan to correct this mediocrity
wacha shobo wewe mbona huongelei ujinga ya Ruto kutumia mende flag ku-kick start 4 poles from Tanzania?we didn’t even need a Kenyan to correct this mediocrity
Running tracks za kazi gani sasa,Hii hapa renda ya Dodoma stadium 👇🏾View attachment 3234552View attachment 3234553View attachment 3234554View attachment 3234555wale wazee wa sijui parking ya mkapa stadium ni ndogo, haya hii hapa funga kazi. Hatucheki na kima sisi.
Toka 1990 mna mwamko ila mnapigwa kila kukicha.Ni kipi usichoelewa?ni wapi nilipoandika kuwa hakuna corruption Kenya? Nachokisisitiza ni kwamba wakenya wana mwamko kukataa ulaghai wa uwazi na hio inasaidia kupunguza corruption. Tofauti na watanzania wanaosifia ulaghai wa uwazi hata hamjafika kiwango cha kuelewa kuwa mali ya umma sio mali ya viongozi… kuna tofauti kubwa sana ukipata kwa upande mmoja, raiya wanakashifu rais wao kwa kutumia private jet inayolipiwa na mali ya umma na kwa upande mwingine wananchi wanashangilia ununuzi wa jet mpya ya rais (approximately $100m) ingawa ni nchi iliyo katika dunia ya tatu ama third world country
ishiiiiii hiyo nayo mpya yaani rais wa nchi anazindua trasnformer ?Vipi ule uzinduzi wa transformer uliofanywa na kasongo
Wapo wanajaribu kuupamba kua unagusa watu 20k.ishiiiiii hiyo nayo mpya yaani rais wa nchi anazindua trasnformer ?
Huo ni uwanja wa Taifa, na Dodoma ni capital city, na huo Ndio uwanja pekee wa kisasa in the city, unaachaje kuufanya kuwa multipurpose.? Lazima standards za hapo ziwe ni za olimpic. Watakapo jenga uwanja mwingine Ndio wajenge huo wa mpira tu.Runni
Running tracks za kazi gani sasa,
Ama masherehe za taifa with men na masufutia yao na simiti kwa mgongo!!!