kama kweli tunania dodoma ndio capital city basi bado haitoshi atleast tungevuta mpaka 45,000 kwa kuanzia, dodoma inakuja kwa kasi sana imagine serekali yote ihamie huko, balozi zote zihamie huko, mashirika ya kiserekali na yasio ya kiserekali yahamie huko etc na ukumbuke wote wanakwenda na familia zao unafkiri patakuaje? bado wafanya biashara, bado wasafiri bado wakazi ambao lazma population yao itakwenda juu sana, hatupaswi kufkiria kesho tunapaswa kufikiria 20yrs to come ili tusiingie hasara za kuja kujenga uwanja mwengine tena