buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Niliona Truck za KAMAZ pia, ndio sifa ya kuwa na misingi ya kueleweka, Why wasiendeleze falsafa ya Tanzania ya Viwanda, tuna agricultural products nyingi sana za kuprocess
Huyo ni Ruto alias Kasongo mwongo akiwa na vumbi kila kona ya mwili at Vumbistan road in Kakamega city clapping at 4 poles from Tanzania for stima supply Ukunduni!
Mafalamanga mwathadan, NairobiWalker, IamLee n Teargass njooni mjieleze!
Dodoma city Ina watu 300k or less mkuu. Ikiwa Dar iko na watu 6 million na uwanja wa taifa wenye capacity ya watu 60k unajaa kwa nadra sana, vipi ujenge uwanja wa capacity ya watu 60k kwenye mji wa watu 300k ambao ndani yake kuna wasiofika uwanjani, watoto, wasio washabiki wa mpira, wazee n.k.? Kujenga uwanja mkubwa Dodoma ni kupoteza pesa, gharama za kuukarabati zitakuwa nyingi kuliko maingizo ya uwanja.kwani bro benjamin mkapa ina miaka mingap hvi sasa?? hebu piga hesabu tungejenga kiwanja cha 30k kipindi hicho hali ingekuaje ??
santiago bernabeu stadium nchini spain ilijengwa 1947 na wakuja kufanya huge renovation last year 2024 kama sijakosea, tena sio kujenga upya kufanya renovation tu na sasa ndio uwanja wa kisasa kuwahi kutokea so far chini ya jua
shida yetu sisi tunakurupuka sana na mbaya zaidi mpaka kwenye miradi muhimu bado watu wanataka kupiga pesa humo humo
Kwa hapa tulipofika Tanzania tunahitaji viwanja vya 30k au 20k kila mkoa especially ile mikoa yenye timu imara za ligi kuu, hii itasaidia sana kukuza michezo hususan football na sio kuwa na ma viwanja makubwa ambayo hata maintenance yake itatugharimu, tunataka viwanja size ambayo tutavifanyia ukarabati mara kwa mara kwa gharama ndogo ili viendelee na ubora wake, huko mbeleni tutaongeza kulingana na uhitaji.Dodoma city Ina watu 300k or less mkuu. Ikiwa Dar iko na watu 6 million na uwanja wa taifa wenye capacity ya watu 60k unajaa kwa nadra sana, vipi ujenge uwanja wa capacity ya watu 60k kwenye mji wa watu 300k ambao ndani yake kuna wasiofika uwanjani, watoto, wasio washabiki wa mpira, wazee n.k.? Kujenga uwanja mkubwa Dodoma ni kupoteza pesa, gharama za kuukarabati zitakuwa nyingi kuliko maingizo ya uwanja.
wacha tumalize kusifiana kwanza hayo tutafanya baadae kaka 😂😂😂😂Niliona Truck za KAMAZ pia, ndio sifa ya kuwa na misingi ya kueleweka, Why wasiendeleze falsafa ya Tanzania ya Viwanda, tuna agricultural products nyingi sana za kuprocess
according to sensa ya mwaka 2022 dodoma ilikua na wakazi 800k na sasa tuko 2025, labda hamujanielewa point yangu, nimesema ikiwa kweli dodoma ndio capital city na serekali yote itahamia huko soon, balozi zote na mashirika yote yakiserekali na sio ya kiserekali, bunge liko huko wizara zote na matawi yake yatakua huko, maana yake population inakwenda kupanda kwa kasi kubwa sana dodoma ukizingatia kuna uwekezaji mkubwa wa viwanda na makazi etc sasa tuangalie 20 yrs to come kwa maelezo yangu dodoma itakua katika hali gani lazima tufikirie miaka 20 ijayo ikiwa dodoma at the same time ndio capital city na kila kitu kitahamishiwa huko. unless muwe hamunielewi point yanguDodoma city Ina watu 300k or less mkuu. Ikiwa Dar iko na watu 6 million na uwanja wa taifa wenye capacity ya watu 60k unajaa kwa nadra sana, vipi ujenge uwanja wa capacity ya watu 60k kwenye mji wa watu 300k ambao ndani yake kuna wasiofika uwanjani, watoto, wasio washabiki wa mpira, wazee n.k.? Kujenga uwanja mkubwa Dodoma ni kupoteza pesa, gharama za kuukarabati zitakuwa nyingi kuliko maingizo ya uwanja.
Read and understand what I said ndio urudi tenaKwa hiyo ni Nairobi vs Arusha now or?
dodoma city population imefika wakazi 750,000 according to 2022 census but still haiwezi ku-afford 60,000 spectators stadium!Dodoma city Ina watu 300k or less mkuu. Ikiwa Dar iko na watu 6 million na uwanja wa taifa wenye capacity ya watu 60k unajaa kwa nadra sana, vipi ujenge uwanja wa capacity ya watu 60k kwenye mji wa watu 300k ambao ndani yake kuna wasiofika uwanjani, watoto, wasio washabiki wa mpira, wazee n.k.? Kujenga uwanja mkubwa Dodoma ni kupoteza pesa, gharama za kuukarabati zitakuwa nyingi kuliko maingizo ya uwanja.
Comments kuna watu wanawashwa si mchezo hasa upande wa brndera yenye mende.
hiyo $30 bln SGR umeipata wapi na wewe? Wacha propaganda hiyo $2.5 bln BRT Kenya imetoka wapi? Unaharibu mjadala kwa kuzusha!
we didn’t even need a Kenyan to correct this mediocrityReli yoote Dar mpaka Mwanza ni $10 bln!
![]()
Tanzania Turns to China for Standard Gauge Railway Financing - The Chanzo
The meeting between Tanzania and Exim Bank China comes week since a similar meeting with SINOSURE who commited to provide finance for the railthechanzo.com
Msalato airport pia sio hiyo gharama bali $272 mln
Tanzania: African Development Bank lends $272 million for construction of Msalato International Airport
The Board of Directors of the African Development Bank has approved a $272.12 million loan to Tanzania for the construction of a new international airport in the capital Dodoma. The funding package, approved on Wednesday, comprises a $198.6 million loan from the Bank, $23.52 million from the...www.afdb.org
Kiufupi wacha kuropoka achana na kutaja gharama maana hata gharama za ndege ume-understate $197 mln kwa ndege 17! Aisee hivi Unajua dreamliner moja ni zaidi ya hiyo amount!? Unakera! Na nani kakuambia bus terminal zote gharama yake ni $100mln na si zaidi? Mji wa serikali $5 bln umeitoa wapi?
🙄
You have nothing better than what we have mzee wacha kujipa umuhimu. Wewe mkenya una kipi cha kumsahihisha mtanzania.? 🤣🤣🤣we didn’t even need a Kenyan to correct this mediocrity
Ni kipi usichoelewa?ni wapi nilipoandika kuwa hakuna corruption Kenya? Nachokisisitiza ni kwamba wakenya wana mwamko kukataa ulaghai wa uwazi na hio inasaidia kupunguza corruption. Tofauti na watanzania wanaosifia ulaghai wa uwazi hata hamjafika kiwango cha kuelewa kuwa mali ya umma sio mali ya viongozi… kuna tofauti kubwa sana ukipata kwa upande mmoja, raiya wanakashifu rais wao kwa kutumia private jet inayolipiwa na mali ya umma na kwa upande mwingine wananchi wanashangilia ununuzi wa jet mpya ya rais (approximately $100m) ingawa ni nchi iliyo katika dunia ya tatu ama third world countryIamLee mzee wa wakenya hawawezi vumilia aka Haiwezi tokea Kenya, na wazeee wanaiba mbele ya Fighters tena 100%
Ona huyu anayechonga huko kwenu kuna Raisi wa upumbavu wa kufungua 44kva transformer?
View: https://x.com/_James041/status/1882366566890971609?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1882366566890971609%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
View: https://x.com/WillieOeba/status/1882831941478862874?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1882831941478862874%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=