IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Buda sasa lazima upinge hata my own experiences? 😂😂Everyone where? Kama umeenda maeneo ya bank kwnn wasiikubali? Ukienda airport tu kuna baadhi ya bank hazi change Kenyan shilling ndiyo itakuwa mtaani, wacha kujichocha, huku hata uwe na US$ mtaani unaweza usipate huduma, ndiyo mtu akubali dafu la Kenya? Kwanza watu hawaijui.