Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inatosha kabisa.....
kama kweli tunania dodoma ndio capital city basi bado haitoshi atleast tungevuta mpaka 45,000 kwa kuanzia, dodoma inakuja kwa kasi sana imagine serekali yote ihamie huko, balozi zote zihamie huko, mashirika ya kiserekali na yasio ya kiserekali yahamie huko etc na ukumbuke wote wanakwenda na familia zao unafkiri patakuaje? bado wafanya biashara, bado wasafiri bado wakazi ambao lazma population yao itakwenda juu sana, hatupaswi kufkiria kesho tunapaswa kufikiria 20yrs to come ili tusiingie hasara za kuja kujenga uwanja mwengine tena
 
kaka sasa hvi ni uchawa tu yani watu wanapiga pesa vibaya sana alimradi tu ujue kusifia tu 😂😂😂😂
Tatzo wataalam wanawekwa pembeni alaf wanachukua watu ambao akili amna ndio wanapewa kipaumbele.
Naona saiv praise team ni nyingi. 😁😂😁😁😂😂
 
kama kweli tunania dodoma ndio capital city basi bado haitoshi atleast tungevuta mpaka 45,000 kwa kuanzia, dodoma inakuja kwa kasi sana imagine serekali yote ihamie huko, balozi zote zihamie huko, mashirika ya kiserekali na yasio ya kiserekali yahamie huko etc na ukumbuke wote wanakwenda na familia zao unafkiri patakuaje? bado wafanya biashara, bado wasafiri bado wakazi ambao lazma population yao itakwenda juu sana, hatupaswi kufkiria kesho tunapaswa kufikiria 20yrs to come ili tusiingie hasara za kuja kujenga uwanja mwengine tena
Well said kabisa dunia saiv inawaza 80k hapa tunaweza viwnja 32K imagine kama mkapa saivi tu inajaa na kutema na watu awatoshi.
I think awakufikiri hili pia 20 years badae Dodoma inatisha
 
kama kweli tunania dodoma ndio capital city basi bado haitoshi atleast tungevuta mpaka 45,000 kwa kuanzia, dodoma inakuja kwa kasi sana imagine serekali yote ihamie huko, balozi zote zihamie huko, mashirika ya kiserekali na yasio ya kiserekali yahamie huko etc na ukumbuke wote wanakwenda na familia zao unafkiri patakuaje? bado wafanya biashara, bado wasafiri bado wakazi ambao lazma population yao itakwenda juu sana, hatupaswi kufkiria kesho tunapaswa kufikiria 20yrs to come ili tusiingie hasara za kuja kujenga uwanja mwengine tena

I disagree. Maintenance kwa kiwanja ambao hai kuwa fully utilized is a waste of money.

Dodoma population iki zidi kuwa lazima wata Jenga nengine
 
Back
Top Bottom