President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,760
- 89,782
Uwanja wa Football peke zinajenga clubs na siyo GovernmentHuo ni uwanja wa Taifa, na Dodoma ni capital city, na huo Ndio uwanja pekee wa kisasa in the city, unaachaje kuufanya kuwa multipurpose.? Lazima standards za hapo ziwe ni za olimpic. Watakapo jenga uwanja mwingine Ndio wajenge huo wa mpira tu.