Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha kali ya wiki.
Airport ya kisasa na isiyovuja wakati wa mvua.
IMG_1864.jpeg
 
Sasa huyo malaya ni expert? Analalamika vitu ambavyo vipo na vya ajabu. Ati Dereva tuktuk azungumzi kingereza....ati hakuna credit card ( watu tunalipa kwa simu tu na kuingia kwenye trains, hostels nk yeye analalamika tu kabla ya kufanya research. Naona video yale dk 5 zote anaomba hela

Sio kila YouTuber ana akili wengine ni vichaa wanaweza tu kusafiri. Nyinyi pokeeni hao black Americans, sisi tulishawachoka...kwanza they add nothing to the economy
How about for once you accept for change huh? That’s an actual perspective of a foreigner and it cuts across other nationalities not only American
Wakenya wanaumia sana wakiona haya yanaendelea

View attachment 3229086
huu ushamba wako utawahi kuisha kweli?
 
Back
Top Bottom