Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania is good to visit, however I couldn’t say much about living there. I’ve observed many expats regret their decisions to move there… try putting systems that match the rest of the world if you want to compete in FDI because expatriates is lowkey good investment
View: https://youtu.be/ILJaRkTLbBM?si=bF-ngClgskHJK5LF

Sasa huyo malaya ni expert? Analalamika vitu ambavyo vipo na vya ajabu. Ati Dereva tuktuk azungumzi kingereza....ati hakuna credit card ( watu tunalipa kwa simu tu na kuingia kwenye trains, hostels nk yeye analalamika tu kabla ya kufanya research. Naona video yale dk 5 zote anaomba hela

Sio kila YouTuber ana akili wengine ni vichaa wanaweza tu kusafiri. Nyinyi pokeeni hao black Americans, sisi tulishawachoka...kwanza they add nothing to the economy
 
So Tanzania is the only country with weddings? Wewe Nenda ukaangaliwe akili.

Harusi pia ni kitu ya kuringia mtu?😂😂😂
We kama mna human development index kubwa kuliko Tanzania leta estate kama hii out of your 3 largest cities 😂🤣

Hii estate 1 tu ina thamani kubwa kuliko hivyo vigorofa vyenu vyote mnavyopostigi huku


View: https://vm.tiktok.com/ZMkp5mnD4/
 
Kwanza there’s a disparity between the Kenya Police and the Kenya Defense Forces, educate yourself on each of their duties. Ushai skia Tanzania police ikilinda borders?
Secondly, what do you know about international agreements and peacekeeping mandates. Kenya police is part of international peacekeeping efforts led by the United Nations under to the UN Stabilization Mission in Haiti. Not to mention international law for humanitarian and peacekeeping purposes.
Nilijua mtakimbilia kwenye difference ya kdf and police, mm nmeongelea in general, hata tukija kwenye kulinda raia bado jeshi lenu la police ni dhaifu mnooo, jeshi lenu limeshindwa kulinda wakenya wanatekwa na kubakwa kila siku ndiyo mkalinde wa Haiti? Eti tuna hakikisha amani in Haiti, mnachukua vipicha vya upande upande ili kujiliwaza, nyie ni majokers wa EA, mnachekesha sana.
 
Tanzania is good to visit, however I couldn’t say much about living there. I’ve observed many expats regret their decisions to move there… try putting systems that match the rest of the world if you want to compete in FDI because expatriates is lowkey good investment
View: https://youtu.be/ILJaRkTLbBM?si=bF-ngClgskHJK5LF

Watanzania wala hawana shida na FDI, hatuhitaji approval ya expatriates to feel relevant actually majority ya watanzania wanaishi maisha ambayo hao expatriates hawawezi afford sio bongo bali hata huko wanakotoka, hizi bungalows tu ni nyumba za kifahari sana huko States achana na hizo storey homes


View: https://vm.tiktok.com/ZMkp5mnD4/
 
Dom

20250207_162011.jpg
20250206_084811.jpg
20250206_084805.jpg
 
Back
Top Bottom