Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

27km from CBD - Kumbuka CBD is in the middle of the City, not on the edge like Darislum

Athi-River.jpg


Another 20km from CBD on the opposide side of the City
northlands-2-jpg.8055110
Maporini

Screenshot_20211212-114613.png
 
1739016713665.png


Kagame na Huyu mwamba watasalimiana?

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini alipokuwa akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, ambapo anaungana na wakuu wa nchi wengine kushiriki mkutano wa dharura wa pamoja wa wakuu wa nchi na Serikali wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika leo Februari 8, 2025.

Katika uwanja huo wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Rais Ramaphosa amepokelewa na Waziri wa Madini Anthony Mavunde.

Viongozi hao wa EAC na SADC wanakutana kujadili njia mbalimbali za kuupatia ufumbuzi mgogoro unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC).
 
How about for once you accept for change huh? That’s an actual perspective of a foreigner and it cuts across other nationalities not only American

huu ushamba wako utawahi kuisha kweli?
Ignore that one. When a foreigner compliments Tanzania over Kenya or is negative towards Kenya, they celebrate and make it a gospel. When a foreigner compliments Kenya over Tanzania or is negative towards Tanzania, they call him all sorts of insults and claim he hasn't done enough research and they don't need him. Nakumbuka kuna siku Mmarekani mmoja alicompliment SGR yao huku hakukukalika.
 
Wasikupange mzee 30km from CBD uko county nyingine.
Metropolis vs City - Ni somo bado hamjaelewa ama mnajifanya hamjaelewa. Kutoka hiyo sehemu aliyoonyesha hadi CBD ni built up area tupu - hamna ushagoo.
Funny thing mnasema ni Nairobi pekee imejengeka alafu mnageuka mnasema hizi sehemu sio part of Nairobi. Hamuoni mnajikanganya?
 
Back
Top Bottom