Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na sikuishia hapo nikawapa ukweli kuhusu Kenya na Wakenya ili wakue kwa mtindo huo, hapa ni mwendo wa kuwalisha sumu ambayo ndiyo ukweli wenyewe, wale madogo sidhani kama watawahi kuipenda Kenya, mana kwanza hawakuwa wanaifahamu zaidi ya kusikia sikia tu, wanasikia kuhusu misaada na hali ngumu ya Kenya, sasa jana nikamaliza kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani wewe siku unaingia Kenya nakuhakikishia tutakuja kukuombea dhamana nchi nzima😅😅
 
Tanzania Kuna vyanzo vingi vya utajiri sio kama Kenya njia pekee ya kupata visenti ni kwenda kuwa slaves uarabuni
Much as your name might be grammatically mutilated, you’re not living up to it nothwithstanding.
 
Yaani wewe siku unaingia Kenya nakuhakikishia tutakuja kukuombea dhamana nchi nzima😅😅
Yani vijana pale mtaani kwa sasa wanaona Kenya kama mavi, huwa naweka you tube kwenye TV alafu nawaonesha ma slums tu, sasa shida ya madogo kwa sasa wameshajua Kenya nzima iko hivyo na ni nchi fukara Africa hii hakuna mfano wake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huu ni u Joker pro max, kulinda mipaka yenu tu msivamiwe na wanamgambo mmeshindwa ndiyo mkalinde Amani ya nchi kutoka bara lisilowahusu, nikuulize tu, kuna uhusiano gn kati ya Kenya na Haiti? Ukweli ni kwamba mlichangamkia fursa ya biden ya kutafuta mbuzi wa kafara, na kwa bahati mby Trump keshaondoa hiyo, kilichobaki ni kuendeleza u Joker kwa kutuma tena vi askari viwili vitatu hili mfiche aibu msichekwe, but ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli na aibu iko pale pale hamuwezi ikwepa, lazima muwatafutie nauli majokers wenu mtake msitake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanza there’s a disparity between the Kenya Police and the Kenya Defense Forces, educate yourself on each of their duties. Ushai skia Tanzania police ikilinda borders?
Secondly, what do you know about international agreements and peacekeeping mandates. Kenya police is part of international peacekeeping efforts led by the United Nations under to the UN Stabilization Mission in Haiti. Not to mention international law for humanitarian and peacekeeping purposes.
 
IMG_0806.jpeg
 
Back
Top Bottom