Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,653
Unajifanya hujui kuwa huko kwa manyang'au maiti zinaopolewa mtoni?Jaribu hivo Vumbistan upotee.
Unajifanya hujui kuwa huko kwa manyang'au maiti zinaopolewa mtoni?Jaribu hivo Vumbistan upotee.
Uchomoe ndege moja.kma inagusa utumbo niambie nichomoe plz😂
You Kundustan,how many times do you sign this white elephant project? 😁😁👇👇
View: https://x.com/Kenyans/status/1887767871708647912?t=J_HxC6JCsyfzdqb8gPerrA&s=19
Hapa SGR Bridge is loading…
Ni kweli, watapata kisukari.moderator naomba hzi picha ziwe invisible kwa wakenya plz 😂😂😂😂
View attachment 3227853View attachment 3227854View attachment 3227856View attachment 3227857
Polisi wale wanapigwa mateke na kuporwa simu na wakora?😅😅😅Kenya's All Female SWAT team arrives in Haiti to finish work. Tanzania mligwama wapi. Hao ni polisi mjue.
View attachment 3227745View attachment 3227746
Makenya yanatamani tuwe kaka zao
Hao madogo wamekutana na mtu sahihi kabisa wa kuwaambia habari za Kenya, mimi nipo na group moja na classmates wangu wakenya, wananichukia to the core, hata nikiwa Kanairo kwa bahati mbaya siwatafuti, hawakawii kuniwekea sumu kwenye glass yangu ya wine au kunitegeshea bangi😅😅Leo kabla ya mechi ya Simba kuna muda nikaweka ligi ya Kenya kama dk 3 hiviii kati ya shabane Vs kaliobange, aiseeee uchale niliokutana nao humo sio wa dunia hii, kwanza uwanja hovyo, ni ghost 👻 alafu mpira butubutu mwanzo mwisho, madogo wakauliza timu za daraja la ngapi hizi? Nikawajibu hiyo ni ligi kuu Kenya, wakauliza tena kwa pamoja "kwani Kenya hawapendi mpira? Mbona wanacheza hivi alafu uwanja mbovu sn?, Nikawajibu bila kupepesa kwamba Kenya ni taifa maskini ndiyo mana ligi yao iko hivyo. Madogo wakaniomba nitoe na niweke Tabora Vs mashujaa.
Na sikuishia hapo nikawapa ukweli kuhusu Kenya na Wakenya ili wakue kwa mtindo huo, hapa ni mwendo wa kuwalisha sumu ambayo ndiyo ukweli wenyewe, wale madogo sidhani kama watawahi kuipenda Kenya, mana kwanza hawakuwa wanaifahamu zaidi ya kusikia sikia tu, wanasikia kuhusu misaada na hali ngumu ya Kenya, sasa jana nikamaliza kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hao madogo wamekutana na mtu sahihi kabisa wa kuwaambia habari za Kenya, mimi nipo na group moja na classmates wangu wakenya, wananichukia to the core, hata nikiwa Kanairo kwa bahati mbaya siwatafuti, hawakawii kuniwekea sumu kwenye glass yangu ya wine au kunitegeshea bangi😅😅