Kenya's All Female SWAT team arrives in Haiti to finish work. Tanzania mligwama wapi. Hao ni polisi mjue.
View attachment 3227745View attachment 3227746
Ndo maana nakuita ngombe. Hizi ajira laki tatu umetoa matakoni? Alafu mbna uwashwe na wakenya kupoteza ajira ilhali pia watanzania watapoteza hizo ajira?who will be more affected ? 😂😂😂
zaidi ya ajira laki tatu na nusu its not a joke mzee
sio mm nimesema kaka nisamehe bure usije nirushia ngumi bure 😂😂😂😂 haya niambie ni watanzania wangap watakosa ajira sio nyie mulikua munajisifu ofisi za international companies??Ndo maana nakuita ngombe. Hizi ajira laki tatu umetoa matakoni? Alafu mbna uwashwe na wakenya kupoteza ajira ilhali pia watanzania watapoteza hizo ajira?
Huu ni u Joker pro max, kulinda mipaka yenu tu msivamiwe na wanamgambo mmeshindwa ndiyo mkalinde Amani ya nchi kutoka bara lisilowahusu, nikuulize tu, kuna uhusiano gn kati ya Kenya na Haiti? Ukweli ni kwamba mlichangamkia fursa ya biden ya kutafuta mbuzi wa kafara, na kwa bahati mby Trump keshaondoa hiyo, kilichobaki ni kuendeleza u Joker kwa kutuma tena vi askari viwili vitatu hili mfiche aibu msichekwe, but ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli na aibu iko pale pale hamuwezi ikwepa, lazima muwatafutie nauli majokers wenu mtake msitake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kenya's SWAT team in Haïti
View attachment 3227752
All payments up to 2025 has been made.Plans and actual payment are two different things. Kenya SGR is lagging behind in loan repayment.
Hizi ni aibu gani? Yani entire airport iko na ndege moja tu?😂😂moderator naomba hzi picha ziwe invisible kwa wakenya plz 😂😂😂😂
View attachment 3227853View attachment 3227854View attachment 3227856View attachment 3227857
kma inagusa utumbo niambie nichomoe plz😂
Who's Zuwema?Kwani wewe huwa unatoa taarifa za battle wapi nakumbuka ushawahi mleta hadi Zuwema wa Diamond kama staa wa kuthibitisha kauli zako.
Muda huo huo unadai humjui Vice president wetu ila unamjua Zuwema 😂😂😂