NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,975
Unavumbuaje kitu ambacho kimekuwa kikitumika for over 30 years?
We nawe tulia, hicho ndio kichaka chenu kila kukicha.Metropolis vs City - Ni somo bado hamjaelewa ama mnajifanya hamjaelewa. Kutoka hiyo sehemu aliyoonyesha hadi CBD ni built up area tupu - hamna ushagoo.
Funny thing mnasema ni Nairobi pekee imejengeka alafu mnageuka mnasema hizi sehemu sio part of Nairobi. Hamuoni mnajikanganya?
Inakaa Alaska 😂😂😂😂Hii Dom inakaa ulaya haki ya mama 😘😘😍😍🥰🥰🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ukiambiwa ukweli mnalia.We nawe tulia, hicho ndio kichaka chenu kila kukicha.
Mbona mkiletewa sehemu nyingine ikiwa na ubovu mnasema haipo Nairobi ipo nje ila nzuri mnachomeka adjectives?.
Those are signs of idiot people, Tanzanians are known for using only 1% of their brain to reason.Metropolis vs City - Ni somo bado hamjaelewa ama mnajifanya hamjaelewa. Kutoka hiyo sehemu aliyoonyesha hadi CBD ni built up area tupu - hamna ushagoo.
Funny thing mnasema ni Nairobi pekee imejengeka alafu mnageuka mnasema hizi sehemu sio part of Nairobi. Hamuoni mnajikanganya?
BasicSouthern Bypass.
![]()
Hamna bypass Tanzania nyamaza.Basic
Mnazo lakini au ndio Ruto atakuja kutembeza Bakuli 🇹🇿?Unavumbuaje kitu ambacho kimekuwa kikitumika for over 30 years?
Arusha bypass 👇🏾Hamna bypass Tanzania nyamaza.
Angalia Dodoma inavyowaka, usijifanye chale, kila siku mnalia nchi yenu jangwa na hakuna initiatives zozote mnazochukua kumaliza ujangwa, angalia akili nyingi na shule ya kitanzania ilivyo na manufaa, Dodoma ishakuwa ya kijani by the time nyie mnalia lia.Inakaa Alaska 😂😂😂😂