Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata Mimi namshangaa!
Kuna watu wengine hata historia ya Maziwa Makuu hawaijui kufahamu nini kinaendelea! Na hawajui hili la eastern DRC likifanikiwa nn kitafuata na Tanzania inayo-share makabila na nchi zaidi ya nane itawekwa katika hatari ipi! Ni ujinga kushangilia wanachofanya wanaowania kurudisha Bahima empire/ Karagwe Kingdom!
 
Kisumu Anderson project
1738767283527.jpeg
 
yani tanesco bado kuna shida kubwa sana yani ni jipu ambalo linahitaji mtu katili sana nje ya hapo urasimu uko pale mpaka kiyama
Walishafanyiwa mtu akaja kuharibu na aliyeharibu analalamika.

Imagine enzi za mzee Tanesco kuanzia chini hadi waziri wote walikua watu wa umeme yaani hadi kulikua na timu ya ya Engineer tu, imagine licha ya kuwa na vyanzo vichache tulikua na huduma ya umeme ya kueleweka.

Now licha ya kuwa na JNHPP wapo wanajivuna jivuna unakata hata bila taarifa.

Imagine unamtoa mtu DSTV unampa TANESCO? Unategemea mambo yaende.

Alafu mambo ya kulalamika kwa mkuu wa Nchi ni ujinga. Kwani hana power ya kuwatimua na amewaweka mwenyewe
 
Unakumbuka zaidi ya billion 70 zilizotumika kununua mfumo gani sijui na makamba na mpaka Leo haujurikani upo wapi
 
Back
Top Bottom