Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamiliki pesa wametoa wapi? 😅😅😅 Jeshi limekosa hela ya uniform lipate pesa ya kujenga stadium 60k? 🤣😂 Hao ni maleba wa mchina mmiliki
Wametoa from GOK, Jeshi lenu kinarambwa kule DRC na unataka kuongelea Jeshi imara that has defeated the 4th strongest terrorist group in the world.
 
Dah mchina kashaclaim mali yake bado asubuhi sana
Unaumia ukiwa wapi?

IMG_1094.jpeg
IMG_1095.jpeg
 
There was a time wachawi walikuwa wanasema kwamba their Arusha mini Stadium itatangulia Talanta Stadium kumalizwa.

One year later😂😂😂👇👇

Talanta
1738395990409.jpeg


Arusha mini Stadium of 20k seaters.😂😂

1738396152585.jpeg
 
Hapa kikwete alikua anawaeleza raia wa mkoa wa Kagera walale kwa amani na kwamba no force can threaten us in this region.
View: https://youtu.be/aDci72DG9D4?si=b4mn-L0ArSvQ4t2y. Hii ni baada ya choko choko za kale kajamaa ka Rwanda kuleta ngendembwe. Raisi kikwete alieleza wazi na kumpigia mfano Amin Dada wa Uganda ya kwamba hatukuamua tu kumfurusha kwenye mipaka yetu bali pia tuliamua kumnyang’anya madaraka. Hiki Ndio kitakachomkuta Kagema akijichangaya nasi. Kutokea hapo kijamaa kikaufyata mkia wake.

Wewe choko Njoo mwaiofhawaii jifunze historia ya bongo malaya hii 🤣🤣

Huyu Kagame wa vitisho mbona hakuivamia Tanzania baada ya watu wake Wanyarandwa na mifugo yao kuswagwa kurudishwa Rwanda kutoka Tanzania?


 
Back
Top Bottom