Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I though those 5M were international arrivals, Kumbe 80% of them ni wale watanzania wa kuenda Loliondo kwa mambo ya uchawi.
Ati .? 🤣🤣 👇🏾
IMG_4091.png
 
Wamiliki pesa wametoa wapi? 😅😅😅 Jeshi limekosa hela ya uniform lipate pesa ya kujenga stadium 60k? 🤣😂 Hao ni maleba wa mchina mmiliki
Jeshi la Kenya limepewa kazi ya usimamizi kwenye huo mradi kisa walishawahi kujenga uwanja pori mahali kwahiyo wakaonekana wanaeza kusimamia ujenzi wa Talanta.
 
Back
Top Bottom