Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanini? Yaani wewe unajua kuliko wanyarwanda wenyewe

View attachment 3220183

Hayo sio majabila ndugu. Nyerere alilifafanua vyema sana hili kwenye mkutano ICC Arusha.
Nyerere alieza hadi ni nini kinafaa kifanyike ili kuondoa huu mgogoro. Nimechukua hizi summary za mazungumzo yake. 👇🏾
IMG_4061.jpeg
IMG_4062.jpeg
IMG_4063.jpeg
sasa ni wao tu wafauate maneno ya watu wazima wenye wisdom zao, au waendelee kuuana..
 
NImekueleza usifuate propaganda za zito hizo. Tangu awali nimemtaja zito. Huoni anajiitwa mwami 🤣 🤣 🤣 🤣
Mtu anakuambie eti kuna kabila la banyarwanda 🤣🤣🤣🤣 ni kama mtu anakwambia kabila la banyatanzania.
👇 👇 👇 👇 Hapa alikuwa anamaanisha nini?
kabila laitwa Banyarwanda lina wahutu watusi na watwa
Sasa bishana na Mwalimu huyu. Huyu anaijua Tanzania na Africa hata kabla wewe haujazaliwa. Tazama hii video kutoka 10:30 hadi 15:00 Mwalimu kaelezea kuwa Hutu and Tutsi sio makabila (kwasababu hayana lugha zao). 👇🏾
View: https://youtu.be/fu83XspMZA4?si=8Qs0rcJafP3p5_oG. Bishana na great thinker sasa. 🤣🤣
 
Back
Top Bottom