La Kipanya liliishia wapi? 😆😆👇👇
View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/1885358552333652099?t=Ixz_g55iokbY6uJ5LL_C5A&s=19
Kuna propaganda sana kuhusu Traore! Ngoja tuone!Kamdoli ka wakenya sio kamefanyiwa modification au bado 😁😁
Sijui kama unaelewa maana ya hii.. ukifa hapo guest watakupataje nduguzo,? Without those information.? Hiyo ni kwaajili ya usalama wako.Sisi sio wakabila are asking their guest which tribe they come from in order to book an accommodation for them
View attachment 3220907
Acha wivu nyie Kundustan hakuna mnachowezaYou people are very lazy, it’s more than 1 yr since groundbreaking of this mini stadium lakini bado hamjamaliza kuchimba foundation.??
Record hii wakenya Labda wajumlishe statistics zao za miaka miwili. 🤣🤣
View: https://x.com/RailwaysAfrica/status/1885206673901367488
View: https://twitter.com/WilliamsRuto/status/1879218345305624771?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1879218345305624771%7Ctwgr%5Ede8ffc89715971e34be2a7cc4d07252d941f5a04%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.theeastafrican.co.ke%2Ftea%2Fbusiness-tech%2Fkenya-turns-to-the-uae-for-sgr-funds-after-china-cut-financing-4890226
MY TAKE
Wakunya mpo? Naskia mmeamua kwenda UAE kutembeza bakuli! Mpaka mpewe pesa miaka miwili itapita na hapo kama UAE wako serious!
Sawa na recovery growth rate ya 43% 👇👇Record hii wakenya Labda wajumlishe statistics zao za miaka miwili. 🤣🤣
Lazma awapapase na kuwainamishia kibra!Walah ,mwarabu hawaachi haachi hivihivi lazima awalambe 🤣🤣
Jeshi lenu lina hata mradi wa kuku mpaka lipate mapesa yote hayo? Kama walitoa GOK ambayo na yenyewe hata mishahara haina kwanini wasijiandike wao moja kwa moja?Wametoa from GOK, Jeshi lenu kinarambwa kule DRC na unataka kuongelea Jeshi imara that has defeated the 4th strongest terrorist group in the world.
Tulitimua wanyarwanda 2013 mbona aliufyata? Na mbona hatushambulii huko Goma? Hakafu fahamu wakuu wa jeshi wa SANDF walikuwa trained Morogoro na Nachingwea kama Kagame na Museveni!Always on that submission or subservience to South Africa due to its military superiority… bruh, nyinyi hamna cha kuonyesha mkaonyesha za wengine 😅
so watu wanakaa kwenye zege?? hakuna viti, inamaana viti vipo VIP pekeake😂😂😂
ila still tunahitaj watalii wa nje zaidi, imagine mwaka huu morocco imepokea 17m watalii wa nje tu, japo sio haba ila juhudi zinahitajika zaidi
Tutafika mzee haswa tukianza direct flights za EU na the US! Hizi flights za Iringa zitaifungua Ruaha NP pia waanze flights za Zanzibar-Iringa na Arusha-Iringa pia!ila still tunahitaj watalii wa nje zaidi, imagine mwaka huu morocco imepokea 17m watalii wa nje tu, japo sio haba ila juhudi zinahitajika zaidi
Unaumia ukiwa wapi? Kasarani yote iko na viti, najua wewe umezoea zile arrangements za kishamba pale makwapa where seats are of different colors Kama za nursery school.so watu wanakaa kwenye zege?? hakuna viti, inamaana viti vipo VIP pekeake😂😂😂