Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Chizi kweli hili jamaa. Majitu mengine ni mataahira.Dar has no poor population, just the same way it doesn't have slums 😂😂
Chizi kweli hili jamaa. Majitu mengine ni mataahira.Dar has no poor population, just the same way it doesn't have slums 😂😂
That shows how much Tanganyikans are obsessed with Kenya. Sisi hatufatilii taarifa zenu neither do we even take the time to watch your news channels. Ndio maana ni vigumu sana uone mkenya ameweka taarifa za chanels zenu humu lakini nyinyi Kila kuchao mnaweka zetuUnataka habari za kenya tuzipate wapi wewe mzembe.? Au hujui kama hii ni battle na ni lazima tuzisakue taarifa zenu mbovu.?
Jamaa inawezekana hata common sense pia huna au IQ yako ni ndogo. 🤣🤣That shows how much Tanganyikans are obsessed with Kenya. Sisi hatufatilii taarifa zenu neither do we even take the time to watch your news channels. Ndio maana ni vigumu sana uone mkenya ameweka taarifa za chanels zenu humu lakini nyinyi Kila kuchao mnaweka zetu
Bongolala stop the bile. Continue watching Citizen, NTV and KTN while you holistically follow every happenings in Kenya. Mimi hata TBC yenu sijui inapeperusha taarifa zake saa ngapi na kwa lugha ganiJamaa inawezekana hata common sense pia huna au IQ yako ni ndogo. 🤣🤣
Sasa hii ni battle unatarajia hatutofata taarifa zenu mbovu for the sake of competition.? Same way vile wewe umetunza hizo picha za Chang’ombe .?
Kuna majitu mazima yanakua miili tu, ile kichwani zero. 🤣🤣🤣 bichwa kubwa, ubongo wa mende.
Mbona mji mzima umejaa madormitory?Even Kisumu has better-looking and organized residential areas than most parts of Dar View attachment 3219831View attachment 3219835
Hata TBC huzijui wakati unaimention au ndo umerukwa na akili unasahau mambo unayoyajua?Bongolala stop the bile. Continue watching Citizen, NTV and KTN while you holistically follow every happenings in Kenya. Mimi hata TBC yenu sijui inapeperusha taarifa zake saa ngapi na kwa lugha gani
Wanajua channels zetu zote za news. 🤣 🤣 🤣 Media ya bongoslum has a long way to go.That shows how much Tanganyikans are obsessed with Kenya. Sisi hatufatilii taarifa zenu neither do we even take the time to watch your news channels. Ndio maana ni vigumu sana uone mkenya ameweka taarifa za chanels zenu humu lakini nyinyi Kila kuchao mnaweka zetu
Mbona miji zenu zimejaa uswazi hovels? Unataka tujaze uswaziMbona mji mzima umejaa madormitory?
Sawa kilaza.Bongolala stop the bile. Continue watching Citizen, NTV and KTN while you holistically follow every happenings in Kenya. Mimi hata TBC yenu sijui inapeperusha taarifa zake saa ngapi na kwa lugha gani
I know even South Africa Broadcasting Corperation (SABC) and many others but I don't watch themHata TBC huzijui wakati unaimention au ndo umerukwa na akili unasahau mambo unayoyajua?
mbagala kwingineko pia ipo kwenye mipango ya DMDP nyingine.Jangwani kwanini!hiyo pesa ingejenga masoko ya kawaida matatu,mbagala,mbezi na tegeta wakayapa hadhi ya kkoo,itapunguza msongamano kule kkoo
View: https://x.com/fbuyobe/status/1885246089449660582
View: https://x.com/fbuyobe/status/1885246111679733890
View: https://x.com/fbuyobe/status/1885246132835467448
View: https://x.com/fbuyobe/status/1885246157145731533
View: https://x.com/fbuyobe/status/1885246178444390816
View: https://x.com/fbuyobe/status/1885246197859848361
View: https://x.com/fbuyobe/status/1885246218374094996
View: https://x.com/fbuyobe/status/1885246239559578066
View: https://x.com/fbuyobe/status/1885246261701280163
View: https://x.com/fbuyobe/status/1885246285076156926
Sisi tunasonga mbele Wanyarwanda na Wakenya wanapigana.
View: https://youtu.be/PchHjqmN0tA?si=Tjcji6UISEaQKqt5
So, ulitaka habari za Kenya azipate Azam? We ni mwehu wa wapi?"Azam TV anafanya vizuri kuliko media yoyote east and central africa" wakati everytime you post a news channel covering Kenyan news it's either citizen, KTN or NTV. What a bunch of imbeciles!
Wewe utakuwa ni kichaa, uko hapa taarifa za Tanzania unazitoa wapi, basi kumbe sisi ni ma star sn kwamba taarifa zetu mnazipata kimataifa ila tukitaka zenu tunazitafuta kwenye media zenu only.That shows how much Tanganyikans are obsessed with Kenya. Sisi hatufatilii taarifa zenu neither do we even take the time to watch your news channels. Ndio maana ni vigumu sana uone mkenya ameweka taarifa za chanels zenu humu lakini nyinyi Kila kuchao mnaweka zetu
Kwann unamlaumu Kagame?Wanakuambia anapewa support na mabepari, yn kajamaa kanaifanya EA vile kanataka, bila kupigwa hakataachia jimbo cz ndiyo jimbo linalompa jeuri ya kulisha mpaka jeshi linalomlinda, kukosa mali za Congo kagame na Rwanda yake wanabaki na milima tu.
Hapana mjaze slumsMbona miji zenu zimejaa uswazi hovels? Unataka tujaze uswazi
Kwanini? Yaani wewe unajua kuliko wanyarwanda wenyeweHuyu Buyobe ni tapeli. Hakuna kabila la wahutu au watutsi.
Hayo sio majabila ndugu. Nyerere alilifafanua vyema sana hili kwenye mkutano ICC Arusha.
Mkuu hapa tunapingana mkuu, hutu and Tutsi hizi si tribes mzee, these are social classes. wazungu Ndio waliwafikisha hapo.