Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20250131-184537.jpg
 
Ila Chedema inakuaga na viongozi vilaza sana 🤣🤣🤣. Cheki hili chizi linaloitwa mdude, linavyoongelea mambo ambayo Halima idea nayo hata robo. 👇🏾.
View: https://x.com/mdudenyagali/status/1885317234307797049. Yani chadema wanachagua baadhi ya wapumbavu kwasababu ya uropokaji wao tu, hata ni vilaza wanawapa nafasi. 🤣🤣 this is very sad.
 
Nani kakwambia chang’ombe ni middle class area.? It’s okay haya tuonyeshe poor class areas of Dar.
Si mnasemanga hamna slums? Only poor people live in slums meaning Dar has only middle-class population and they live in your sprawling uswazi hovels
 
Si mnasemanga hamna slums? Only poor people live in slums meaning Dar has only middle-class population and they live in your sprawling uswazi hovels
Ume claim chang’ombe ni middle class ya Dar, well and good, nimekuomba sasa ulite hiyo poor class of Dar. Usinieleze habari nyingi mimi
 
azam tv anafanya vzr zaidi kuliko media yoyote east and central africa na hilo huwez bisha 😂😂😂😂😂
"Azam TV anafanya vizuri kuliko media yoyote east and central africa" wakati everytime you post a news channel covering Kenyan news it's either citizen, KTN or NTV. What a bunch of imbeciles!
 
"Azam TV anafanya vizuri kuliko media yoyote east and central africa" wakati everytime you post a news channel covering Kenyan news it's either citizen, KTN or NTV. What a bunch of imbeciles!
Unataka habari za kenya tuzipate wapi wewe mzembe.? Au hujui kama hii ni battle na ni lazima tuzisakue taarifa zenu mbovu.?
 
Back
Top Bottom