Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa hawapendwi na kila nchi aisee.
Halafu eti wanajitia umuhimu. 🤣🤣😂 vitu vingine vinastaajabisha, ni wao wakunya na warwanda ndio vibaraka na wezi wa mali za Congo waki support westeners, halafu eti kasongo anadai ameongea na Raisi wa France ili kupeleka amani Congo. 🤣🤣🤣🤣 hawa watu ni majuha kweli kweli aisee.
 
Charles Obbo is Ugandan. Fool.
Historical Moment. NB: hakuna nchi inayoizunguka Tanzania inaweza kuhujumu JWTZ. Wanaujua moto wetu

1738082849893.png


1738082912815.png
 
Back
Top Bottom