buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
Hana madhara yoyote huyo,mwisho wa pk umekaribiaBad move kumkubali
Nchi imemkataa au hujuma?Bibi nchi imemkataa
Ndio dalili za nchi kukukataaNchi imemkataa au hujuma?
Kwahiyo una-support hujuma?Ndio dalili za nchi kukukataa
Kimsingi ni cosmetic Haina maana 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFaoQcNt6tE/?igsh=MjM2cjZ0azNuM2Jk
Dwarfs.
Hapana hao ni wamiliki wa ardhi ila uwanja wa wachina wewe hujiulizi hiyo budget ya wizara ya ulinzi kujenga uwanja wa dollar zaidi ya 300m imetoa wapi na kwanini iwe wizara ya ulinzi na sio michezo?Wamiliki wa uwanja wakikagua project yao.
View attachment 3217988
View attachment 3217991
View attachment 3217993
Hilo swali limejibiwa sana humu ,na wapi zimekwenda Baadhi yake ni 👇👇Sasa hayo matrillion za 50 waliyokopa wamepeleka wapi?
Unaumia ukiwa wapi?Hapana hao ni wamiliki wa ardhi ila uwanja wa wachina wewe hujiulizi hiyo budget ya wizara ya ulinzi kujenga uwanja wa dollar zaidi ya 300m imetoa wapi na kwanini iwe wizara ya ulinzi na sio michezo?