mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,176
- 6,612
Kunakaa poa ?… 🤣🤣🤣…. Please usilete huo ushamba America kama kweli unakuja …😁😁….Kaumia huyu, sasa mbona hata hiyo picha uliyoweka kunakaa poa sanaa, hata mm nimei save hiyo picha yako na nili share kwenye magroup kadhaa kuonesha uzuri wa mkapa na maeneo yanayoizunguka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣