Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,923
- 103,792
Actually barabara 3 za BRT zimezunguka Mkapa Kilwa Road, Changombe Road na Mandela road.Kweli wewe ni zezeta, these are roads to mkapa stadium. Kumbe wew hupajui hapo. BW Mkapa stadium imezungukwa na barabara kubwa za BRT mbili na ipo karibu kabisa na barabara kubwa inayotarijiwa kupigwa BRT lanes this year. Picha hizi hapa. 👇🏾View attachment 3215892kaskazini kuna mwendo kasi inapita 👇🏾View attachment 3215893mashariki mwa uwanja kuna ingine inapita from city center (posta) 👇🏾View attachment 3215894View attachment 3215895kusini mwa uwanja, yaani ni door step kufika barabarani, 🤣🤣👇🏾View attachment 3215896kwa miundombinu hii Labda SA ndio anaweza kutia pua, sio nyinyi. 🤣🤣
Ndio mana nikasema kwa miundo mbinu hii Labda SA ndio anaweza tia pua ila sio vinchi vya EA. Uwanja utakua mtamu sana since unafikika kiurahisi na aina za usafiri wa kisasa zaidi.Actually barabara 3 za BRT zimezunguka Mkapa Kilwa Road, Changombe Road na Mandela road.
Uwanja pande tatu umezungukwa na kambi za jeshi. Upande mmoja nusu ni uwanja nusu chuo kikuu cha ualimu. Ni kichaa tu anaeweza kusema umezungukwa na Kibera.Actually barabara 3 za BRT zimezunguka Mkapa Kilwa Road, Changombe Road na Mandela road.