Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tumefika 70m πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hujui kama tofaut ya tanzania na kenya ni about 4m
Since when? Nyinyi na Uganda ndio munsahindana kuzaa hapa East Africa. Kenya's birth rate is lower than the two.
 
Pazia gani? Wanadai mvua inasumbua ndio inatatiza ujenzi hapo kwenye mto na ndipo panachelewesha.

Kigongo-Busisi imejengwa miaka 6
Ndio excuse yako? Una upuuzi sana kwa hiyo kila mkifeli ni kutafuta excuse ya mtangulizi alafu hayo ya mtangulizi mnayafanya mema yenu yakianza kusifiwa?

Fanya kazi acha excuses.
 
Ndio excuse yako? Una upuuzi sana kwa hiyo kila mkifeli ni kutafuta excuse ya mtangulizi alafu hayo ya mtangulizi mnayafanya mema yenu yakianza kusifiwa?

Fanya kazi acha excuses.
Kufeli ni kupi? Nawaambia Sgr hizo kukamilika ni 2030 ndio za kupigia Kampeni mda huo.
 
Since when? Nyinyi na Uganda ndio munsahindana kuzaa hapa East Africa. Kenya's birth rate is lower than the two.
mpuuzi ww katika nchi inayoongoza kuzaana ni kenya munachapana miti kama kuku vile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

nchi yenyewe ndogo bado munapeana balls tu wakat wenzenu balls wanatumia kwenye football
 
Pazia gani? Wanadai mvua inasumbua ndio inatatiza ujenzi hapo kwenye mto na ndipo panachelewesha.

Kigongo-Busisi imejengwa miaka 6
hapana mzee sio kweli usilete visingizio vyakitoto

busisi kigongo imeanza jan 2020 haya hio miaka sita imefika lini na wanafungua mwezi ujao, imechukua 5yrs na bado walikutana na changamoto ya rocks katikati ya ziwa ndio maana unaona kuna nguzo zimeenda deep zaidi kuliko ilivotarajiwa kwenye karatasi

wakat mwengine kubaliana na ukweli hata kama ni mchungu unauma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…