Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao wanataka increment lakini wewe kwa ujinga wako unadhani hawajalipwa. I can assure you that what they earn currently is 10 times bigger than what their counterparts earn in Tanzania.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Chuchunge Comment yangu inahusiana vipi na ulichoandika hapa!
Why unaumia Azam TV kuwepo kenya?
Umesema wanapata faida by selling their decoders and that the matches can only be watched through Azam Decoder. I’m proving you wrong that sio lazima umiliki decoder ya Azam to watch their programs.
 
kuna harufu kubwa saba ya upigaji this time sometimes nashindwa kuelewa tunakimbilia mikopo ovyo ovyo tu
Mwaka wa kampeni huu unajua business per se nadhani kama kujilipa route hiyo ya Tanga-Moshi-Arusha-Musoma ina sound vizuri ila hela hazipo ni bora kukamilisha mradi mmoja uanze ku-operate then ndio uanze mradi mpya!
 
Leta evidence that ziko more than 100 basi.
ww ndio umesema ziko lesa than 100 sasa niletee ushahidi nifunge acc mbuzi ww😂😂

unaropoka tu mm nimekuja msa ile appartment nimefikia buxton sehemu zote zimefunga azam decoder alaf sahii unaongea pumba gani kila nyumba nilioingia ina azam tv mpaka pale fayaz restaurant kuna azam tv 😂😂😂😂
 
Mwaka wa kampeni huu unajua business perse nadhani kama kujilipa route hiyo ya Tanga-Moshi-Arusha-Musoma ina sound vizuri ila hela hazipo ni bora kukamilisha mradi mmoja uanze ku-operate then ndio uanze mradi mpya!
shida hakuna usimamizi kwa sasa kila mtu anaongea anavijiskia uchawa chawa tu umejaa kusifiana kwa mambo ya kipuuzi baaasi 😂😂😂😂😂
 
ww ndio umesema ziko lesa than 100 sasa niletee ushahidi nifunge acc mbuzi ww😂😂

unaropoka tu mm nimekuja msa ile appartment nimefikia buxton sehemu zote zimefunga azam decoder alaf sahii unaongea pumba gani kila nyumba nilioingia ina azam tv mpaka pale fayaz restaurant kuna azam tv 😂😂😂😂
Juu unapinga kwamba ziko more than 100, I want you to prove me wrong. Ebu tuonyeshe picha za hizo Apartment with Azam decoder, Yani uone apartment decoder in a Kenyan building Alafu ukisema kupiga picha?
 
Back
Top Bottom