much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,578
Nyie hamuoni aibu stadium yenu kumilikiwa na wachina?Kwani hamuoni aibu kuchimba foundation mwaka mzima? Na kitu mnachimbia shimo milele ni mini stadium ya 20k seaters pekee.
Nyie hamuoni aibu stadium yenu kumilikiwa na wachina?Kwani hamuoni aibu kuchimba foundation mwaka mzima? Na kitu mnachimbia shimo milele ni mini stadium ya 20k seaters pekee.
Makwapa si mulijengewa bure na wachina ju nyinyi ni nchi maskini.Nyie hamuoni aibu stadium yenu kumilikiwa na wachina?
Hapana ule ulijengwa Kwa mkopo na tumeshaulipa lakini nyie mkopo umeshindikana juu hamkopesheki Sasa mmeamua msurrende Kwa wachina nchini nyenu yote achukue tollMakwapa si mulijengewa bure na wachina ju nyinyi ni nchi maskini.
this is an example of world class Electric BRT with matching infrastructure around it. Kuna miji mengine ambayo ina bodaboda, tuktuk,mkokoteni, punda, watu kwenye lanes za BRT ila hatuwezi pumua kwa sifa wanazoipa
Not congested, neat, no fighting and entering through the windows, courteous people.. damn!
View: https://youtu.be/pwEqG0G3wRg?si=JWDS41JpXvdlkG85
Of course you resort to insults 😂😂Kumbe hili nalo kasha!
What are you trying to say 😂Hiki kimradi cha BRT cha Senegal ni 18.3 km
Hii ni Dakar, Senegal. Huwezi ona hii kwenye mji wowote Tanzania. One thing I know for sure, nyie mna wivu sana na sisi. BRT yetu ni kubwa mno na ya kipekee Africa.
Read hii: Senegal capital struggles to control horse-drawn carts
View attachment 3200168
Itawachukua miaka mingi sana hawa nyang’au kuwa na BRT kama tuliyonayo.Hiki kimradi cha BRT cha Senegal ni 18.3 km
Hii ni Dakar, Senegal. Huwezi ona hii kwenye mji wowote Tanzania. One thing I know for sure, nyie mna wivu sana na sisi. BRT yetu ni kubwa mno na ya kipekee Africa.
Read hii: Senegal capital struggles to control horse-drawn carts
View attachment 3200168
Alitekwa na gari ya Tanzanian number plates. Alafu wewe ni mjinga, so akitekwa Kenya ni kumaanisha yeye ni Mkenya? Opposition wa Uganda alitekwa Kenya last year, yeye pia ni Mkenya?
Ila wew jamaa ni mshamba sio poa. Unaiona US kama mbingu sijui...poor youToday I was strolling in the mall ( we just got back from Christmas holiday) to see what’s new and I met a couple named Kenya ( wife) and Kenyatta ( husband)… that was an interesting find ..😄… it’s when it dawned on me that there are so many females named Kenya and Males named Kenyatta in the United States … so far i haven’t come across anyone called Tanzania… and ain’t gonna happen 🤣… Kenya 🇰🇪 is that popular and also it’s such a beautiful name… You are welcome…..And now let the south Hate begins … 😄😄😄
Wacha upumbavu the car had kenyan number plates!The car that the kidnappers were driving had TZ plates. I mean come on LOL!
If that's the case I really wouldn't be surprised if this whole thing was staged. This woman's whole thing is engagement farming on Social Media. The bigger the controversy the more engagement she gets and the more the algorithms push her stuff to the top, and of course the more popular she gets.
Watapaka rangi tena tunawafahamu sana hao. Sasa hivi mikono inawawasha they cant wait to get their dirty hands on that money.Hope ujenzi umeanza tayari...
View attachment 3199679
Wanatafuta kazi huko na kujiuza kwa wazungu.![]()
South Africa and Kenya among top tourism sources for Zanzibar in December 2024
Zanzibar's tourism sector experienced a remarkable surge in December 2024, welcoming 91,611 international visitorswww.thecitizen.co.tz
MY TAKE
Wakunya wanafuata nn Zanzibar? Si waende Mombasa na Lamu?
So, ile gari ya Tanzania mnayoazima ikienda Arusha ni ya Arusha na sio ya Dar!? Kwnn wakenya hamna akili kiasi hiki?Arusha ni kijiji kwa Mombasa, huko Bongoslum sidhani unaeza pata anyone owning a Ferrari outside Dar is a slum.
![]()
Mkuu hili ni eneo jipya kabisa linaloinuka ng'ambo na jengo hilo unaona ni msitu ni Eneo la University of Dar es Salaam na Mlimani City,hilo eneo lone ni planned area but for high density kwa kuwa wakati haikudhaniwa pangekuwa sana.Huwezi kuwa na lami kila kona at onceGoogle updates everywhere equally. The maximum time is 3 years. Usitubebe ufala.
There is no man foolish enough to visit Kilimani and Sinza and even think there could be a comparison between the two in terms of infrastructure. Ni kama kulinganisha London na Dar. Hapo sinza nimekuonesha ukitoa Main Artery road (Sam Nujoma) barabara nzuri ni moja na hata sii nzuri kivile, it is just passable.
Kuna siku ulisema humu Wakenya hujiona kama Big Brother wa East Africa, huo ni ukweli. Ndio maana wakija huko waone hata kabarabara kamoja kazuri watakasifia maanake wanaona kama little brother ameamka otherwise kwa sector ya barabara za ndani mko chini sana.
Tofauti ni kwamba, hapo Sinza barabara nzuri ni za kutafuta, Kilimani barabara mbovu ni za kutafuta. Wabongo wanatafuta barabara nzuri Sinza wakipost, Wakenya wanatafuta barabara mbovu kilimani wakipost.
Secondly, there is nothing impressive about that road. It's just passable and that's it.
Nyuma ya hilo PPF building kunakaa hivi. Vumbi tupu. Ukiondoa hiyo Sam Nujoma Road (Main road) na Igesa road zingine ni vumbi tupu. Nionyeshe Kilimani barabara mbili zilizoshikana alafu zote vumbi nihame huu uzi.
View attachment 3192881
Kwnn Unatoa ushuhuda pasipo evidence? Tabia ya kijinga sn hii.The car that the kidnappers were driving had TZ plates. I mean come on LOL!
If that's the case I really wouldn't be surprised if this whole thing was staged. This woman's whole thing is engagement farming on Social Media. The bigger the controversy the more engagement she gets and the more the algorithms push her stuff to the top, and of course the more popular she gets.