RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,219
- 138,579
Unapigia mbuzi gitaa.Mkuu hili ni eneo jipya kabisa linaloinuka ng'ambo na jengo hilo unaona ni msitu ni Eneo la University of Dar es Salaam na Mlimani City,hilo eneo lone ni planned area but for high density kwa kuwa wakati haikudhaniwa pangekuwa sana.Huwezi kuwa na lami kila kona at once