Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,238
- 33,470
Kwani hamuoni aibu kuchimba foundation mwaka mzima? Na kitu mnachimbia shimo milele ni mini stadium ya 20k seaters pekee.Inakuuma nini?
Unadhani sisi tuna kamradi kamoja kitembeza kila siku?
Usisahau ulikua unasema mchina amekimbia site?
Tulia wewe mzee wa tuoneshe 1km mwisho ukaanza kijiba cha roho baada ya kuona matokeo upo busy kusubiria hitilafu.