stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,907
- 34,701
Close up,Picha ya kuonesha 100m. Unaficha nini?
Sisi huku tulishatoka mdogo wangu miaka zaidi ya 20. Asante kwa kumbukumbu hii, enzi hizo tukiona lami tulikuwa tunafurahi sana
Kaka vitu vyako ni low quality untuumiza macho
Nilikua nasemaga kuhusu watu tunaojadilinao humu ndani ni washamba tu kutoka porini. 😂😂😂. Halafu utawakuta wanakaza matako eti kiswahili ni chakwao. Msikilizeni kibera walker anavyoongea humu. 👇🏾
View: https://vt.tiktok.com/ZSV7HnhE8/.
actuallly sio low quality, ni sehem yenye vumbi imelazimishwa filter 😂 😂 😂Kaka vitu vyako ni low quality untuumiza macho
Vitu vingine bwana nyangau mkenya aka NairobiWalker aka Teargass havina hadhi kuwekwa JF. Anatakiwa apeleke Xactuallly sio low quality, ni sehem yenye vumbi imelazimishwa filter 😂 😂 😂